Masta Tindwa wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM hajui kutangaza

Mbabani

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,171
3,359
Wanamichezo hasa mpira wa miguu, kuna huyu mtangazaji wa Clouds FM hasa katika kipindi cha michezo (hili game & sports extra) wakuitwa Masta Tindwa huwa analeta ubishani, kelele, ujuaji usio na maana kabisa katika kipindi. Anapapara nyingi sana, muda mwingine anaongea vitu havieleweki.

Kitengo cha michezo Clouds FM Usajili wa Masta Tindwa umefeli.
 
Nimeacha kusikiliza clouds siku nyingi
 
Wanamichezo hasa mpira wa miguu, kuna huyu mtangazaji wa Clouds FM hasa katika kipindi cha michezo (hili game & sports extra) wakuitwa Masta Tindwa huwa analeta ubishani, kelele, ujuaji usio na maana kabisa katika kipindi. Anapapara nyingi sana, muda mwingine anaongea vitu havieleweki.

Kitengo cha michezo Clouds FM Usajili wa Masta Tindwa umefeli.
sidhani kama hao watangazaji wa michezo wa clouds wamesomea utangazaji
 
Mtangazaji clouds ni yule rasta na yule dada

Hawa wengine walitakiwa kuwa wanasoma taarifa ya habari
 
Wanamichezo hasa mpira wa miguu, kuna huyu mtangazaji wa Clouds FM hasa katika kipindi cha michezo (hili game & sports extra) wakuitwa Masta Tindwa huwa analeta ubishani, kelele, ujuaji usio na maana kabisa katika kipindi. Anapapara nyingi sana, muda mwingine anaongea vitu havieleweki.

Kitengo cha michezo Clouds FM Usajili wa Masta Tindwa umefeli.
Yule ni muongozaji wa kipindi na sio mchambuzi wa mpira ila cha ajabu anauliza na kubishana na anaowauliza kwa wakati mmoja.
 
Bila ubishi hakuna utetezi mzuri wa hoja ukiona Kuna mtangazaji anabisha sio kwamba hajui anahitaji uitetee hoja yako Kwa niaba ya wasikilizaji.

Namkubali sana Kiemba.
 
Yule ni muongozaji wa kipindi na sio mchambuzi wa mpira ila cha ajabu anauliza na kubishana na anaowauliza kwa wakati mmoja.

Huyu ni Kampista
Jamaa muongoza kipindi lakini muda wote anataka kuongea yeye tu badala ya kuchokoza mada na kuachia wachambuzi
Amezoea alipokua EA radio ilikua ndio zao

Mleta mada anamuongelea Masta Tindwa
Jamaa anaboa sana aisee, yaani kabla mwenzake hajamaliza kuchambua karukia yeye na kuanza ku crash maoni ya mwenzake
Anajua vitu vingi lakini anapenda sana kujaribu kuwa prove wrong wenzake na kusababisha muda mwingi wa kipindi uwe mabishano

Ile ladha ya sports extra ya Shafii dauda
Edgar kibwana
Cortinho
Farahm kihamwe
Yahaya njenge
Akaja kuingeza ufanisi Amri kiemba
Waingozaji Lwambano, Kishamba na mkazuzu imeanza kupotea sasa
 
Na wewe mtu akikufungulia Uzi kwamba uko incompetent kwa kazi yako, ili dunia yote ione utafurahi?
 
Back
Top Bottom