Nimemzimia Diva wa clouds FM

Kwa hiyo unachosema ni kwamba kwa vile Clouds FM wana-webcast matangazo yao, hiyo ndiyo sababu kuu inayowafanya wawe gumzo la JF mara kwa mara? Kama hicho ndicho unachosema basi mimi siuoni uhusiano/mwunganisho wowote ule baina ya hivyo vitu viwili labda unafafanulie zaidi.

Ila ni vyema watu wakatambua kuwa katika tasnia ya vyombo vya habari (media industry) Clouds Media Group kwa kweli wanatisha. Niseme tu kwamba, kwa sasa hawana mpinzani na ushahidi upo dhahiri kabisa.
ume wa -compare na vyombo gani vingine vya habari? if you didnt do any comparison then nakubaliana na wewe
 
Radio One, Magic FM, Times FM, na wengineo.....
unaweza kumshawishi babu yangu anayesikiliza tbc1 kila siku kuwa clouds fm iko juu kuliko tbc1!! ok lakini nisikubishie coz sijui vigezo ulivyotumia na mm hata hivyo naizimia hii redio offcourse bila kumsahau mrembo DIVA
 
Mkuu Ivuga be careful sauti peke yake isikuchanganye unaweza kuta dem mwenyewe sio mkali,hebu tafuta pics zake uziweke hapa kwanza!
 
unaweza kumshawishi babu yangu anayesikiliza tbc1 kila siku kuwa clouds fm iko juu kuliko tbc1!! ok lakini nisikubishie coz sijui vigezo ulivyotumia na mm hata hivyo naizimia hii redio offcourse bila kumsahau mrembo DIVA

Your grandpa is most likely so dead set in his ways that convincing him to switch his allegiance would be insurmountably difficult. So just let him stick to his TBC1. Afterall, he is way out of the targeted age group that Clouds intends to reach, the 16-34yrs of age.

And do you even know what Clouds stands for? I know most of you people don't know this but Clouds stands for Cool, Lovable, Outrageous, Unique, (and) Dynamic Sound. Now you tell me, how does your grandpa fit in with that? It is quite evident he won't find their programming to be that appealing to him. Let's keep it 100....do you really think he would understand what the hell 'haina majotrooo' means? I highly doubt it.

So that's another reason why I always scoff at the detractors who get huffy when Kibonde says something outrageous or outlandish on air. I'm like...look at these people get all huffy and puffy for nothing....only if they knew!

NB: I have it on excellent authority that Diva Loveness Love does indeed read what people say about her in JF!! So best believe that she will see your post.
 
bora uendelee kumpenda kwa mawazo tu, usijiingize huko kwa pasua kichwa maana she is living a plastic life. yaani imaginery life, mwili upo bongo lkn mawazo yoote ki marekani marekani, ulaya so kuwa makini
 
The Diva Loveness Love daaaah.....! Aisee me love her sana tuuuu, plus that Dinna Marios weee.....!
 
bora uendelee kumpenda kwa mawazo tu, usijiingize huko kwa pasua kichwa maana she is living a plastic life. yaani imaginery life, mwili upo bongo lkn mawazo yoote ki marekani marekani, ulaya so kuwa makini

Hakuna ubaya wowote hapo. Na ni wengi tu ambao wako hivyo. Unakuta mtu anaishi uswazi lakini eti anajifanya hana mambo ya kiswazi. Sasa sijui mambo ya kiswazi ndiyo yepi....
 
I wouldn't describe her as "very portable" for portable collocates with objects and she is not an object. For example, a portable television, radio, or laptop. But she is a person. Therefore, 'petite' would be a more apt description of her. She is a petite girl though she is more on the thick and juicy side.

Hapa NN umenionea tu... you know what i meant... But in fact about her being 'petite' labda

the way she speaks portrays her so, but i can not discribe her as being in that category...
 
I meant no harm my sister from another mother! Maybe petite is also relative lol....
 
I know... but mimi moja kwa moja nikiambiwa Petite napata picha mtu ambae anaonekana

so delicate kama moja ya aspect... na niki apply kwake naona haiingii as much as ni relative...

Note that no harm nor ubishi intended....
 
Delicate as in fragile? To me petite means having a small and thin body - usually used to describe a woman or girl.
 
That is what i understood plus delicacy... But kama tu in the red... I completely agree with you.
 
NN nimekusoma kuwa mtetezi mkubwa wa Clouds...una maslahi yoyote au "miafrika ndivyo tulivyo"???

Clouds mimi wamenipatia burudani ambayo hakuna mwingine yoyote Tanzania aliyekuwa anaweza kunipatia enzi hizo. Unakumbuka mambo ya ghorofa ya saba wewe? poolside je? umezisahau zile beach parties za enzi zile?

Au wewe ulikuwa chekechea enzi hizo? Kwa hiyo, kujibu swali lako ni ndiyo. Mimi nimekuwa mdau wa Clouds tokea wanaanza na sipendi kuona wanapakwa matope na waoshwa vinywa. Watu wanatoa ajira kwa Watanzania, wanachangia uchumi wa Tanzania, halafu ng'ombe watu hawaoni kabisa mchango wao. Hii inanikereketa sana. Nitawatetea hadi mwisho pale ninapoona wanastahili utetezi wangu. Daima mpenda haki.
 
Nadhani wewe na wao mko sawa maana kila mtu ana mtazamo wake.

Wakati kuna watu hapa wanaishutumu CCM kila kikicha, wapo wengine CCM ni kila kitu kwao na huwezi kuwalazimisha kuwa na mtazamo sawa.

Ningeshauri uwe unaleta topic za mazuri ya Clouds ili tuchangie na wale wenye kusema mabaya ya Clouds nao rukhsa. Wanaita Soko Huria = Mawazo Huria

Nawafahamu Clouds kabla hawajawa Clouds! Hilo linakuambia kama nilikuwa chekechea au la!
 
The good that Clouds Media Group does in the community is self evident. My job here is to put up a spirited defense whenever I see mudslingers sling mud at them. And I am ready and willing to go head to head with anyone till the cows come home.
 
Nakubaliana na wewe 100%.

Pamoja na mazuri yote ya Clouds kwa jamii haimaanishi watangazaji wa Clouds wote ni wazuri 100%. Usifanye majumuisho ya jumla vinginevyo mizani yako haitatenda haki.
Ingawa umesema target group yao ni hadi miaka 34 basi kuna mgongano pale wanapojiita "redio ya watu" ikimaanisha watu kwa ujumla wao.

Channel 5 wao wanajitambulisha kama Tv na.1 ya vijana, kwa hiyo wazee pale sio mahali pao.

Ila napenda kwamba umejitambulisha upande upi wewe unasimamia.
 
Back
Top Bottom