Nimemzimia Diva wa clouds FM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemzimia Diva wa clouds FM

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Saint Ivuga, Jul 26, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,485
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  Huyu mtoto ana sauti ya ukweli na ya kimapozi .. lingekuwa embe ningekula hadi majani .. mashalaaah!!!!
  ningepata pics zake dah!ingekuwa poa sana
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Ngoja niazime kicheko cha FMES, Komandoo wa ukwee'ee. Bwahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......Clouds FM oyeeeeeeeeee....teh teh teh

  Haya sasa, having said that, Diva Loveness Love is good at what she does. She is confident and not conceited. She is sassy and outspoken. In a nutshell, she's got all the qualities that a successful radio personality needs to have. Keep up the good work Diva. Only the sky is the limit.
   
 3. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  We saint unatafuta nini kwa mke wa mtu. Si ameolewa yule?
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ana website mgoogle loveness diva...kisha umcontact kama una nia...
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dah!!! kweli kipenda roho... She is beautiful of coz (hope unapenda weusi...) but utangazi wake mmmh!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  See, haya yote yalitakiwa kuwekwa kwenye jukwaa la Clouds FM....
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,485
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  HATA KAMA .. mimi sina mpango wa kukutana naye wala kumtaka .. nimemzimia tu
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,485
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  NN nimekusoma .. hhahahaha clouds si ndio inapatikaa online? so usishangae mkuu waambie waitoe online kama utakuta thread zao hapa
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,485
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  im in love with blackbeuty offcoursse
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,485
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  sina nia ,ila nimemzimikia tu mtu wangu
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Then she is perfect for your imagination.... very portable if you like carrying (in case ukafanikiwa...) Best of Luck!!
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,485
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  mm!! AshaDii naona unanitafutia matatizo haha.. im just in love with her and i dont have any plan to meet her
   
 13. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na picha zake unataka za nini? Umemsikia redion inatosha, au!!?
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kakwambia atakula hadi majani...huoni maana yake wewe?
   
 15. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Lipo eeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhh
   
 16. S

  Siimay Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anataka picha aweke ukutani jaman mwenye alizo nazo ampatie,heshimuni hisia zake
   
 17. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na mbona anajishaua eti kamzimia tu wala hana mpango wa kumeet naye.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jul 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unachosema ni kwamba kwa vile Clouds FM wana-webcast matangazo yao, hiyo ndiyo sababu kuu inayowafanya wawe gumzo la JF mara kwa mara? Kama hicho ndicho unachosema basi mimi siuoni uhusiano/mwunganisho wowote ule baina ya hivyo vitu viwili labda unafafanulie zaidi.

  Ila ni vyema watu wakatambua kuwa katika tasnia ya vyombo vya habari (media industry) Clouds Media Group kwa kweli wanatisha. Niseme tu kwamba, kwa sasa hawana mpinzani na ushahidi upo dhahiri kabisa.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  I wouldn't describe her as "very portable" for portable collocates with objects and she is not an object. For example, a portable television, radio, or laptop. But she is a person. Therefore, 'petite' would be a more apt description of her. She is a petite girl though she is more on the thick and juicy side.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hapana. Kwa nijuavyo mimi hilo jukwaa bado halipo. Lakini kwa vile Clouds Media Group na yote yahusianayo na wao yamekuwa gumzo la JF kwa muda mrefu, kuna mdau mmoja amependekeza kuwa ni bora tu lifunguliwe jukwaa jipya la Clouds. Yaani yote yahusuyo Clouds yawe yanabandikwa huko kwa sababu mada zihusuzo Clouds sasa zipo kwenye majukwaa mengi - zipo kwenye jukwaa la siasa, burudani, hoja na habari mchanganyiko, celebrities, chit-chat, na hii sasa kwenye MMU.

  Mimi binafsi naunga mkono hoja hiyo bila kusita. Clouds inastahili kuwa na jukwaa lake pekee yake na humo kwenye hilo jukwaa Ephraim Kibonde awe na sub-forum yake ambayo everything Kibonde will be posted and discussed over there.

  Na kama watawala wakiliridhia pendekezo hili basi mimi nitaomba kazi ya umodereta wa jukwaa hilo. Nadhani nita-fit vizuri sana huko. What say you Magulumangu?
   
Loading...