klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
ankal nazani umenikonfyuzi na Uporoto. hapo red acha nigoogle ili nijue hizo mbuga za wanyama zinapatikana mkoa gani wa TZ.Ankal naelekea tandale na manzese kuonana na fidel nimwambieje
ankal nazani umenikonfyuzi na Uporoto. hapo red acha nigoogle ili nijue hizo mbuga za wanyama zinapatikana mkoa gani wa TZ.Ankal naelekea tandale na manzese kuonana na fidel nimwambieje
Im here jamani nimependwa, kupendwa raha jamani asikwambie mtu sorry Manyanza nilikuwa tight sana leo ofisini niko live sasaHuyu BB nae vipi?..kwann hajitokezi atoe ushirikiano? BB pllzzzzzzzz kuja pande hii kuna mgongano wa maoni
\HAPO BLACKBERRY UNAJIONA DHAHABU teh! Nadhan waruka ruka km BEBERU HAPO. Hongera kwa kupendwa na uce mjua, yawezakuwa jini au kaka poa teh (i joke)
Nico unaniuliza mie au mheshimiwa? tumsubiri arudi tenahivi umeishamueleza mkubwa umusikie anakwambia nini sisi ni ushauri lakini siyo jibu zuri unalolitaka
Tumefanya nini tena sie?Ngojeni waamke wahusika Dina au Lizzy ipoje hii?
Ahsante Manyanza kwa kunizimikia maana raha ya uanamke kupendwa achana na maneno ya watu ooo dume mimi sio dume bwana ni mwanamke
Hureee basi kina fulani wamenunaje? wakaliiiiiiiiii ndio maana hawaanzishiwi thread hongera BB umeanza vizuri
Ahsante Manyanza kwa kunizimikia maana raha ya uanamke kupendwa achana na maneno ya watu ooo dume mimi sio dume bwana ni mwanamke