Yahemovich
Senior Member
- Jan 20, 2011
- 170
- 3
Dah! Ngoja nimuulize Michelle mi niingie chumba namba ngapi labda atajitokeza.
c'moon,m juz makn fun ain serius. Wez yo sense f humour
Aha ahaa basi na mimi ya kwangu iko honeymoonIt's on holiday!
Mhuuuu!Salam zake!Aha ahaa basi na mimi ya kwangu iko honeymoon
Yaani mwenzangu na mie nimekuzimikia tangu ulipokuwa unanikaribisha na kunielekeza mambo mbalimbali, mie kipindi hiki niko tight sana ila muda si mrefu nitakuwa kila mara naingia humu.Samahani my blackberry nilikuwa nakuangalia kila mara nikakukuta upo offline na mimi nikawa nimeshatoka ofisi saa 11 jioni hebu nipe maneno matamu mpaka wenye wivu wasage chupa wanywe.
Watajibeba nyota njema hujitokeza asubuhi lol!Haswaa kuna watu roho zinawauma sitaki kuwataja ukitaka kuwajua anza kufuatilia mwanzo wa thread utawaona wenye vijiba vya roho
Nipo mipango mji nipe habaribb upo?
Usijali bebi ManyanzaNajua my BB watu wana miwivu humu we acha tu, na nikawaambia mimi sijakurupuka kukuzimia lakini wakawa wanabisha
We waache tu na wivu zaoNajua my BB watu wana miwivu humu we acha tu, na nikawaambia mimi sijakurupuka kukuzimia lakini wakawa wanabisha
He na wewe! kwani wewe pc yako hairuhusu ku PMSasa let's reach the conclusion, maana mods washaanza kuchakachukua thread yangu wameitoa MMU wameileta Chit Chat na kesho wanaweza kuifunga. Ni PM basi ili nipate contact...
He na wewe! kwani wewe pc yako hairuhusu ku PM
mhhhhaya bana week end njema mie ni kujipumzisha tu.Week end imeshaanza mama tunapata moja baridi moja moto, na ishu ya kukaa kwenye PC mpaka kesho tena hapa au J3 kabisa, but if you send me PM naweza kureply hata sasa kupitia mobile... Najua hii thread mpaka kesho itakuwa ishafungwa.
Kwa sasa nachukia watu wenye jinsia tofauti na yangu!Tafadhali jaribu tena baadae!
Unanijua!?Ungekuwa mzuri cjui ingekuwaje binti.
Unanijua!?
Yaani mwenzangu na mie nimekuzimikia tangu ulipokuwa unanikaribisha na kunielekeza mambo mbalimbali, mie kipindi hiki niko tight sana ila muda si mrefu nitakuwa kila mara naingia humu.