Nimemzimia blackberry

Nimemzimia blackberry

Ukisoma no.6 hapo nilikuwa nachekcheck. Kiukweli nimekuzimia ile mbaya. Hapo nilikuwa naku-alert tu ili jamaa asikugeukie wewe halaf mi nikatoka KO.

Duuh kama drama vile, haaahaa endelea kubembeleza mkuu...
 
It my sincere hope and very sincere indeed, that, JF aint a dating site!! - right?
 
mimi namzimia kweli husninyo! yaani mkiskia nimeanza kutembea bila kaptula mjue sababu ni yeye.
aaaah husninyo utanitia uchizi mtoto wa female mwenzio! yaani nakupenda husninyo kuliko jenereta linavyopenda diesel. sjui imetosha au niendelee?
 
Mhhh...Kloro...hata kunitafuta jamani...unajua kama sio malaria, nawe ungesaidia kumtoa duki....🙂
nilikuanzishia sredi lakini mods na majealous yao wakaidelete, yaani kipindi chote ulipotea nilikuwa hata raha ya oxygen sioni. tumeflahi kukuona tena.
 
nilikuanzishia sredi lakini mods na majealous yao wakaidelete, yaani kipindi chote ulipotea nilikuwa hata raha ya oxygen sioni. tumeflahi kukuona tena.

Mhhh...Kloro!!!

Asante, nami nimefurahi...maaana najua Kloro akiwepo karibu, sikosi tabasamu usoni...🙂
 
Mhhh...Kloro!!!

Asante, nami nimefurahi...maaana najua Kloro akiwepo karibu, sikosi tabasamu usoni...🙂
ndio maana nakufagilia, yaani kabisa hausikilizi maneno ya pembeni. si unaona hapo juu kuna mlalahoi flani (jina kapuni) tayari anataka kuwasha redio, dozi yake ya milembe ilimaliza jana nazani leo anapata fahamu kwa miujiza ya mungu tu
 
Haahaa mkuu, hebu tafuta profile ya Blackberry anza kufuatilia kuanzia post yake ya mwanzo ambayo alikuwa anajitambulisha nilipost kama post 10 hivi. Nakupa homework mkuu tafuta hiyo profile.

Acha nianze hiyo kazi mara moja, lakini wasiwasi wangu nisije na mimi nikanasa kama wewe, ha ha ha, sijui tutaangaliana vipi usoni, tutaanza visa vyote ikiwa ni pamoja nawizi wa kura teh teh teh!!!
 
ndio maana nakufagilia, yaani kabisa hausikilizi maneno ya pembeni. si unaona hapo juu kuna mlalahoi flani (jina kapuni) tayari anataka kuwasha redio, dozi yake ya milembe ilimaliza jana nazani leo anapata fahamu kwa miujiza ya mungu tu

Hahahahah....hivi eee???!!!....hebu ninong'oneze.....asije kusikia.....
 
Komredi wapi mwalimu Gaijin? nataka anifundishe Katiba bana na mimi nikatoe mchango wangu.
heheh kamanda huyu mwalim hata mimi namtafuta, nimepata mrembo anajifanya mtaalam sana wa kiswahili, sasa yeye anataka hata ukimtongoza uweke nomino, paragrafu, kivumishi na kielezi katika mahala pake, adhawaizi anakunywa bia zako na kuondoka. nimehisi umuhimu wa kuonana na gaijin ili anipatie evening klass ya zarura
 
It my sincere hope and very sincere indeed, that, JF aint a dating site!! - right?

MMU could be, jf is a big organization, MMU in a department in it, by the way what is the meaning of jamii, society au sio and what is society without malavi davi? it's like tea without sugar, 'we together?????
 
heheh kamanda huyu mwalim hata mimi namtafuta, nimepata mrembo anajifanya mtaalam sana wa kiswahili, sasa yeye anataka hata ukimtongoza uweke nomino, paragrafu, kivumishi na kielezi katika mahala pake, adhawaizi anakunywa bia zako na kuondoka. nimehisi umuhimu wa kuonana na gaijin ili anipatie evening klass ya zarura

We Kloro kama unamsema Dena shauri yako, mimi simo, si unamjua lakini!
 
Hello wana MMU!
sio kawaida yangu kuingia jukwaa hili na kuandika, kupost au kuchangia mada zinazokuwa hapa, huwa napita na kusoma tu...
ukiona leo mpaka nimefikia kuandika thread hapa basi kuna jambo limenikaa rohoni, sio siri wana MMU, kuna member anaitwa Blackberry ingawa sio mwenyeji sana bado ni mgeni hapa JF nimetokea kumzimia sana, japo sijui ana umri gani?, anaishi wapi? na marital status yake ikoje...
Please Blackberry... waiting for your reward response

Vp nikusaidie kuweka sawa?
 
Back
Top Bottom