Nimemzimia blackberry

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,402
14,147
Hello wana MMU!
sio kawaida yangu kuingia jukwaa hili na kuandika, kupost au kuchangia mada zinazokuwa hapa, huwa napita na kusoma tu...
ukiona leo mpaka nimefikia kuandika thread hapa basi kuna jambo limenikaa rohoni, sio siri wana MMU, kuna member anaitwa Blackberry ingawa sio mwenyeji sana bado ni mgeni hapa JF nimetokea kumzimia sana, japo sijui ana umri gani?, anaishi wapi? na marital status yake ikoje...
Please Blackberry... waiting for your reward response
 
Kwanini usimtumie PM....mpaka utangazie umma wote???!!..mhhh haya kila la heri............
 
Toka apendwe Dena basi wapendaji mmeanza kuibuka kama wagawa vikombe wa bongo, hebu tusaidie kaka hebu tuambie sababu za kumzimia mtu usiyemjua kwa lolote isipokuwa maandishi na avartar, maana hujatoa sababu, toa sababu ili uweze kupata public opinion unayoitarajia. Ningependa kusikia opinion yako kwanza.

Yours faithfully, lukansola
Looking forward to hearing from you soon.
 
Watu wanazimia avatar...hawajui nini kilichopo nyuma ya avatar....

Sijazimia avatar mkuu kwani kuna avatar ngapi ambazo zina mvuto mbona sijazisemea? Mbona hata wewe avatar yako ni nzuri kwa nini sijasema neno?
 
Toka apendwe Dena basi wapendaji mmeanza kuibuka kama wagawa vikombe wa bongo, hebu tusaidie kaka hebu tuambie sababu za kumzimia mtu usiyemjua kwa lolote isipokuwa maandishi na avartar, maana hujatoa sababu, toa sababu ili uweze kupata public opinion unayoitarajia. Ningependa kusikia opinion yako kwanza.

Yours faithfully, lukansola
Looking forward to hearing from you soon.

Haahaa mkuu, hebu tafuta profile ya Blackberry anza kufuatilia kuanzia post yake ya mwanzo ambayo alikuwa anajitambulisha nilipost kama post 10 hivi. Nakupa homework mkuu tafuta hiyo profile.
 
Hello wana MMU!
sio kawaida yangu kuingia jukwaa hili na kuandika, kupost au kuchangia mada zinazokuwa hapa, huwa napita na kusoma tu...
ukiona leo mpaka nimefikia kuandika thread hapa basi kuna jambo limenikaa rohoni, sio siri wana MMU, kuna member anaitwa Blackberry ingawa sio mwenyeji sana bado ni mgeni hapa JF nimetokea kumzimia sana, japo sijui ana umri gani?, anaishi wapi? na marital status yake ikoje...
Please Blackberry... waiting for your reward response
Lazima kutakuwa kuna kitu kimekufanya umzimie Blackberry
 
Back
Top Bottom