Nimemzimia blackberry

ankal uschafue CV bana! si unaona Keren Happuch amelejea. Ukifuja mbele ya Keren Happuch itakula kwako ujue, nina faili zako zote za tandale.
Kam umeishatoka kwa Mtogole sawa hamna tatizo ili mradi umeacha matumizi ya yule binti mimi sina wasiwasi
 
Acha nianze hiyo kazi mara moja, lakini wasiwasi wangu nisije na mimi nikanasa kama wewe, ha ha ha, sijui tutaangaliana vipi usoni, tutaanza visa vyote ikiwa ni pamoja nawizi wa kura teh teh teh!!!

wapo wengi tu humu mkuu, ok tembelea profile ya mtoto BB lakini usianze kumchokoza na wewe, maana patakuwa hapatoshi
 
mkuu kumbe huu ni waraka?
Toka apendwe Dena basi wapendaji mmeanza kuibuka kama wagawa vikombe wa bongo, hebu tusaidie kaka hebu tuambie sababu za kumzimia mtu usiyemjua kwa lolote isipokuwa maandishi na avartar, maana hujatoa sababu, toa sababu ili uweze kupata public opinion unayoitarajia. Ningependa kusikia opinion yako kwanza.

Yours faithfully, lukansola
Looking forward to hearing from you soon.
 
Huyu BB nae vipi?..kwann hajitokezi atoe ushirikiano? BB pllzzzzzzzz kuja pande hii kuna mgongano wa maoni
 
Back
Top Bottom