Nimemzimia blackberry

Angalia usipende wake zetu tutawatoa humu JF ni nzuri ukatumia PM kuliko public kama hivi yaelekea huchelewi kuweka hadharani ukipewa
 
Hello wana MMU!
sio kawaida yangu kuingia jukwaa hili na kuandika, kupost au kuchangia mada zinazokuwa hapa, huwa napita na kusoma tu...
ukiona leo mpaka nimefikia kuandika thread hapa basi kuna jambo limenikaa rohoni, sio siri wana MMU, kuna member anaitwa Blackberry ingawa sio mwenyeji sana bado ni mgeni hapa JF nimetokea kumzimia sana, japo sijui ana umri gani?, anaishi wapi? na marital status yake ikoje...
Please Blackberry... waiting for your reward response
I waz here.
 
mmmh,watu mmezid kutangaza nia. Haya nami natangaza nia kwa lizzy,mamito moyo wangu una chemchem ya mapenz na maji yake ni matam kaa sharubati ya sukari guru!
 
Niambie dearest!Watu wanazimika zimika tu hapa kama vibatari!
Mi mzima dearest hawa wanaozimika zimika si watawafia kabisa lol! washaurini waende kwa Babu kwanza wasizimike ndio waje kwenu,wangekujua wangeomba urafiki wa kalamu hahaha!
 
Mi mzima dearest hawa wanaozimika zimika si watawafia kabisa lol! washaurini waende kwa Babu kwanza wasizimike ndio waje kwenu,wangekujua wangeomba urafiki wa kalamu hahaha!

Tabu tu...labda kama babu wa Loliondo anabadilisha tabia...otherwise hua wa penseli sitaki!
 
Dah! Ngoja nimuulize Michelle mi niingie chumba namba ngapi labda atajitokeza anitajie code yake.
 
Back
Top Bottom