Nimemzimia blackberry

Sijazimia avatar mkuu kwani kuna avatar ngapi ambazo zina mvuto mbona sijazisemea? Mbona hata wewe avatar yako ni nzuri kwa nini sijasema neno?

Haya mkuu...inaonekana una taarifa za kutosha kuhusu BB.....kila la heri!
 
Keren aisee nimekumiss this big, yaani i mean this big, yaani big like a baloon no big like a swimming pool

Hello TF...yaani unamiss that much...hata kupitia at home...ukanisalimia jamani...mhhh!!!

Otherwise, mzima lakini wewe?
 
Hello TF...yaani unamiss that much...hata kupitia at home...ukanisalimia jamani...mhhh!!!

Otherwise, mzima lakini wewe?
Mimi mzima nilikuwa nije kwenu ila nikakuta nimewekewa matuta makubwa ya mawe, hivi bado tu haujanizimia???
 
Mie niilidhani
weye ndo unanizimia..
yaani unaniuza live
khaa ngoja nitafute mwingine
hahahah lol

Ukisoma no.6 hapo nilikuwa nachekcheck. Kiukweli nimekuzimia ile mbaya. Hapo nilikuwa naku-alert tu ili jamaa asikugeukie wewe halaf mi nikatoka KO.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom