Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Kama unaamua kusamehe samehe na usahau kama hujaamua kusamehe then usisamehe,kuwa na msimamo and stick to what u beleive
 
mpe hii no. 0686701434 naomba anirushie hiyo picha. mimi pia ni co worker mwenzie.
 
Hujasamehe bado mkuu kwahiyo acha kujifariji otherwise usingekuwa hapa unaomba ushauri wa nini cha kufanya next.Ukisha samehe there is nothing left to do.

Sasa kwasababu bado huja samehe mimi nakushauri nini cha kufanya next.Mwanamke anayefaa kuwa mke ni yule anaye jiheshimu na kuweka mipaka kati yake na wanaume ambao si wenzi wake,na mwanamke anaye jiheshimu na kuheshimu mahusiano hawezi kutuma picha hata ya mguu wake tu kwa mwanaume mwingine.Kingine kwanini ajenge ukaribu wa kiasi hicho na huyo mwanaume? Kwanini huyo na si mwanaume mwingine yoyote ofisini kwao? She is a girlfriend material not a wife.Kifupi huyo ameshaliwa na huyo jamaa au soon ataliwa so kuna mawili ya kufanya; either kama wewe king'ang'anizi unataka kumbadilisha mpige marufuku ukaribu na huyo jamaa na mwambie hutaki awe na urafiki na wanaume au achana naye na tafuta mwanamke anayeelewa kuwa kunahitajika kuwe na mipaka.
 
watu mnaoamini wapenzi wenu kiasi hiki hua mnaniacha hoi, anatuma picha ya namna hiyo kwa raia afu bado unajipa moyo ati unakula mwenyewe.. Pole sana, nyie ndo hua mnalizwa mwisho wa siku mnatoa machozi mwanaume mzima..

Binti aliyefikia hatua ya kutuma picha za kijinga sio wife material hiyo, ni material ya kuchezea na kuacha ndio ukweli huo..
 
Pole sana.
Kama ni hivyo basi ni dhahiri huyo mpenzi wako anawezakutoka na huyo jamaa. Kama amewezakumtumia picha ya namna hiyo basi kuna uwezekano mkubwa akatoka na jamaa. Pengine wameshatoka!

Kidume mwenzangu katumiwa
 
Mmmh! ngumu kumesa...! Picha ya chupi!! Duh!!! me hata nikikuta kamtumia picha hata ya kawaida kabisa timbwili lake analijua, hiyo ya chupi ndo namsahau siku hiyo hiyo hakuna maelezo.
 
.....pole kaka, chukulia kama"amemlisha ugali kwa picha ya samaki!"

Habari wadau,

Straight to the point, mpenzi wangu tupo pamoja mwaka wa 5 sasa, tunapendana, hatuna mikwaruzano na tunajaribugi ku solve matatizo yetu kwa umakini zaidi ili tuweze kukaa njia kuu.

On bed hajawahi kulala na mwanaume mwingine zaidi yangu mimi, nilikua wakwanza kwake..(natumai na wa mwisho..lol).
Lately alianza kuwa very busy na simu yake, sana sana watsapp..nikimuuiza anasema ni group tu(mpaka saa 9 usiku anaweza akawa online).
This weekend nilikaa nae geto nikawa na sync files za simu yake in my p.C ,nikafungua whatsapp images nakuangalia sent images kuna picha moja alipiga akiwa na kichupi (ipo nusu,chupi a miguu) ilikua sent ila sio kwangu...nilimbana na aka admit kweli kakosea na kujutia kweli kweli..inshort namimi nilichanganyikiwa ila yeye alizidi zaidi..
Nilimwambia aniache kwa mda niweze nikafikiria vizuri, na leo nilimtafuta na kumsamehe.

Sasa nimekuja kwenu apa mni shauri huyu kuku bandani nimuwekee some ground rules ama?
Binafsi nimemsamehe kwasababu najua nisingeweza kuishi na guilty ya kutomsamehe wakati yeye pia amenivumilia mengi sana pindi nilikua napitia mydrinking phase

NOTE: aliniambia same day asubuhi kabla sijafuma hiyo pic kwamba uyo co worker wake wamezoeana na anampaga company mda mwingi adi watu ofifin kwao wakaanza maneno ya chini ((alikua kama anajikosha kwakuwasema wafanyakazi wenzie wambeya))


Nimekuja apa kwenu kwasababu nahisi pia nahitaji councelling what to do next baada ya kumsamehe ..
 
Yatakushinda mazee...

Hivi husomi huku JF kila siku tunasema watu waachane na kufuatilia mawasiliano ya wapenzi au wanandoa wao?

Mnashea sehemu fulani ya maisha yenu but kubali out of you ana maisha yake mwenyewe. Mkizaliwa tifauti, mlikulia tofauti, mmekutana ukubwani. Hamna undugu wala ukoo... then unamfuatilia maisha yake!!! As long as hajakuonyesha dharau hadharani ridhika na heshima, furaha, na mapenzi unayopata kwake... hayo mengine yaache kama yalivyo...
 
FaizaFoxy nakupenda sana ukiwa MMU kwani una akili kweli, issue ukiwa Jukwaa la siasa sasa lol!
Unazini nae miaka mitano halafu unadhani kuwa wenzako hawali?

Wewe uliwezaje wenzako washindwe? kwani umemuoa? pambaf.

Wacheni uzinzi, ni uchafu.
 
Last edited by a moderator:
Unazini nae miaka mitano halafu unadhani kuwa wenzako hawali?

Wewe uliwezaje wenzako washindwe? kwani umemuoa? pambaf.

Wacheni uzinzi, ni uchafu.

ila ukweli na nyie wanawake MUNGU kawaumba sana angewalipua lipua tu ili msitutege! hakuna mwanamume huku duniani asiye geuza shingo au kukazia macho mwanamke aliyempendeza machoni pake hata kama awe ndani ya ndoa hilo alipo kabisa na nikwasababu moja tu!!! wanawake waliumbwa kwa utukufu wa mwanamume!
 
Nilizani mkeo kumbe mzinzi mwenzio. Muoe acha uzinzi.
 
Msamehe kaka,kwa vile ameonesha kujuta,pia unatakiwa ufahamu wadada/wanawake ni viumbe dhaifu sana....kutoka kana na udhaifu wao anaweza fanya kitu ambacho haukuwahi kifikiria....au mwambie asitumie WhatsApp tena,wala social network yoyote.....ila usimbwage asee,sio vizuri
 
Nimemsamehe kabisa..
na najua upendo utarejea intime
Ila kama kaweza kutuma picha ..
Dah yani hofu ya kuchapiwa sasahivi ipo juu balaa yani sijiamini kama awali..

Na ndo ushachapiwa sasa
 
Hivi hujui kwamba siku hizi kuchapiwa ni siri ya ndani?????? mcheki rich mavoko atakupatia rymz
 
Mzinifu wa kiume hatooa ila mzinifu wa kike au mshirikina wa kike na Mshirikina wa kiume hatooa ila mzinifu au Mshirikinia mwenzake. Na yameharamishwa hayo kwa walioamini....

hujakosea mkuu ni sahihi kumsamehe...kwani na wewe ameshakusamehe mengi...Pia usijali ujasiri wa kuweza kumsamehe sio wako wewe ni zoezi zima la kula kwako nguruwe...ambao hutoa wivu na haya kwa wanadamu wanapokula
 
Back
Top Bottom