Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Kwanza ungetakiwa kuthibitisha kwa kuweka hio picha hapa i meanku i attach.
Pili unagongewa mwanaume na mwanamke hawana urafiki imagine wewe mfanyakazi mwenzako akutumie picha ya kichupi hautasisimka? Hutamtamani? Hapo jamaa keshakula papuchi sijui parachuti.
Nne ngoja wakungongee na watamuoa kabisa , miaka mitano namdada wa watu unamla tu papuchi...
 
Mtu mwenye akili zake huwa haombi ushauri JF aka kwa waropokaji


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Nyie mnaosemeaga nafsi za wenzenu ndo huwa mnafanywa vibaya, we sema tu unampenda sio mnapendana
na hilo swala la kumegwa ni Siri yake mwenyewe usiconclude kuwa hafanywi
huyo co-worker kama hali basi yupo mbioni kula.

Hivi katika hali ya kawaida kabisa mpenzi wako akienda kubandua/kubanduliwa wewe una hasara gani???

Kama sio kujichosha tu na matatizo ya binadamu mwenzio

Me wangu wamfanyie tu full makamuzi aka Switch ON , Papuchi ni yake.


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Si unajua tena mambo ya vijana bhana, siku hizi haya maeneo matamu mmeyapa majina mengi bhana!

kitu kitam kuliko vyote ni pesa
na ndo ina majina mengi
PESA,MSHIKO,CHAPAA,MAPENE,FARANGA,UMATEUMATE,SABUNI,KISU,AND A LOT
 
what to do next

IFANYIE VIPIMO GEGEDO LAKE

PIMA UKUBWA ULIOKUWEPO TOA KWA ULE WA AWALI

kama jibu ni 0 mpe papuchi kama jibu ni_ negative basi guve him papuchi at ur own risk



hahahahahahahahahahaha duuuuhhh braaaaaaa
 
Hivi katika hali ya kawaida kabisa mpenzi wako akienda kubandua/kubanduliwa wewe una hasara gani???

Kama sio kujichosha tu na matatizo ya binadamu mwenzio

Me wangu wamfanyie tu full makamuzi aka Switch ON , Papuchi ni yake.


In this world nothing is certain than Tax and Death.
Ukianza kujiharishia kitandani ndo utaiona hasara na utajua hiyo inakuhusu asilimia zote....!!!
 
Nimemsamehe kabisa..
na najua upendo utarejea intime
Ila kama kaweza kutuma picha ..
Dah yani hofu ya kuchapiwa sasahivi ipo juu balaa yani sijiamini kama awali..
pole sana ndugu yangu na karibu sana kwenye dunia ya mapenzi. Napenda nikutaarifu kuwa mpk hapo ulipogundua mpenzi wako ameshatembea na huyo jamaa, haiwezekani katika hali ya kawaida akamtumia picha kama hiyo co-worker ambaye hajatembea nae kwani itakuwa aibu kwake ofisini huyo jamaa akionesha picha kwa wengine. Ila kwa kuwa ameshatembea nae na ana uhakika nae (love security) ndio maana anamtumia picha kama hizo.

Ushauri wangu binafsi (unaweza kuuchukua au kuuacha)

Mmekaa muda mrefu kupita kiasi ktk uchumba mkichunguzana ilo ni kosa kwa kuwa binti amekosa uhakika wa kuolewa na kuamua kutembea nje ya uhusiano wenu.

Kwa maoni yangu huyo dada achana nae kama hujazaa nae kwani atakuja kukuumiza sana baadae. Nasema hivi kwa kuwa huyo boyfriend/ co-worker wanashinda nae muda mrefu sana huko ofisini na wataendelea tu na uhusiano hata ukishamuoa huyo dada maana ni wapenzi na wanaonana na kuwa karibu kila siku ww utakuwa na muda mchache sana na huyo mpenzi wako kuliko huyo coworker wake maana muda wa kazi ni mred=fu kuliko muda mnaotumia nyumbani ambao asilimia kubwa ni kulala usingizi

Piga chini huyo dada tafuta msichana mwingine mwaminifu. Pia usimwamini anachosema m/mke hasa uliyemfuma maana asilimia 99 atayokwambia ni uongo. Pole sana huna mwanamke hapo
 
Mkuu sorry sana ila ukiona manyoya??????????. Iliyopo wewe ni kujikaza kiume na maisha kuendelea kama ulivyokwisha kuamua kusamehe.
 
what to do next

IFANYIE VIPIMO GEGEDO LAKE

PIMA UKUBWA ULIOKUWEPO TOA KWA ULE WA AWALI

kama jibu ni 0 mpe papuchi kama jibu ni_ negative basi guve him papuchi at ur own risk
Nashindwa kukuelewa, kwani mlalamikaji ni ke au Me; Labda apime papuchi yake.
 
Nashukuru sana na ndiyo nataka kufanya hivyo..maana in 5years this is the biggest mistake ashawahi kufanya..
Apo nyuma hakuwahi kunikosea hata

kama yuko whasap ujue na huku yupo, so anajua kila kitu. Jiandae kwa lolote
 
mcouncel nawewe ajue kweli umemsamehe toka moyoni na usimbadilikie, ila mwambie unapenda uwe rafiki yake wa karibu, mshkaji wake, msela wake, baba yake, kaka yake n ol, ili akipata shida ya rafiki aje kwako, akipata hamu ya kua na mfanyakazi mwenzake aje kwako, akipata hamu ya kudeka kwa baba aje kwako, yani akiangalia kila pande akuone upo, wengine mabingwa wa kuchat bt co kwa wapenzi wao coz wapoi too formal, wanajua ni kusex tu hakuna enjoyment nyingine, ur boyfrend, mchumba, mume, n virse versa anatakiwa awe mshikaji hasa,
 
sa miaka yote hiyo mnatumiana tu, kha! acha tu ampe mwingine
 
Sasa na wewe unampango gani na huyo dada miaka mitano mnagegedana tuu kaona hueleweki ameona bora angalie future na mtu mwingine
 
Halafu ulivyo na hakika kuwa wewe ndo mwenye kula hilo tunda kama umeweka password🙂
 
avatar126416_2.gif
....
 
Back
Top Bottom