Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Yeroo sidai,
naona umegeuza mambo sijui umefanya kusudi,
Gegedo ni uume, papuchi ni uke,
Papuchi aipime ndio gegedo ampe
 
Kama ulianza wewe huoni kuwa ni zamu ya wenzako kumalizia? Ngoma droo acha kulia lia kwani hujawahi kuomba ushauri humu kabla ya kuanza kulala nae.
 
Yeroo sidai,
naona umegeuza mambo sijui umefanya kusudi,
Gegedo ni uume, papuchi ni uke,
Papuchi aipime ndio gegedo ampe

sijageuza hata kidogo

hujanielewa

UNAJUA GEGEDO LINAPUNGUA KILOJULS(KJ) LIKITUMIKA?? sasa kama ashamsamehe la msingi ni kulipima gegedo then kudhibitisha kwamba juzi hakulala na jobmate wake alafu itakua alilala nae ijumaa tena mjini kama kumbukumbu hazijapoyea
 
Umesema kamtumia co worker picha kavaa kichupi???

Mmmnh.... Mi labda ni mshamba sielewi haya mambo..!!
 
Kwann anapiga picha za vichupi? Ivi anajitambua uyo mchumba ako.Mi naona apo swala sio kumsamehe, swala ni kwanini anapiga picha za namna iyo.
 
Unazini nae miaka mitano halafu unadhani kuwa wenzako hawali?

Wewe uliwezaje wenzako washindwe? kwani umemuoa? pambaf.

Wacheni uzinzi, ni uchafu.
Tutaacha..in the mean time please nipe councelling ya kuniongoza vyema
 
c usha msamehe

Nimemsamehe kabisa..
na najua upendo utarejea intime
Ila kama kaweza kutuma picha ..
Dah yani hofu ya kuchapiwa sasahivi ipo juu balaa yani sijiamini kama awali..
 
Hahahaha imebidi nicheke tu kwa jinsi unavyojipa maflag na kujipa moyo kuwa wewe ndio wa kwanza na wa mwisho kula papuchi kwa miaka tano yote" bila shaka ulimuumba wewe! Anyway wee fata kile roho yako inapenda!!

Mkuu usipo jipa moyo unategemea dunia ya leo akupe mtu moyo
#jikubali
 
what to do next

IFANYIE VIPIMO GEGEDO LAKE

PIMA UKUBWA ULIOKUWEPO TOA KWA ULE WA AWALI

kama jibu ni 0 mpe papuchi kama jibu ni_ negative basi guve him papuchi at ur own risk

Masomo yenye hivi vitu nilikuwa nayakubali kinoma.
 
inaonekana huyo bidada anakamchezo hako tokea mda cha kutuma pics za jinsi hiyo, we msamehe tu na uendelee kumwekea mitego..angalizo..ukimchunguza bata haumli, cha msingi ni kusamehe na kusahau,kwani wewe umemfanyia mangapii?

Kweli kabisa..tnx kwa heads up
 
Yani we jamaa unashangaza!mtu imefikia hatua anamtumia mtu picha akiwa na chupi tu halafu wewe unachekacheka tu,,kalagabao!we jipe moyo tu.msamehe.
 
Hahahaha imebidi nicheke tu kwa jinsi unavyojipa maflag na kujipa moyo kuwa wewe ndio wa kwanza na wa mwisho kula papuchi kwa miaka tano yote" bila shaka ulimuumba wewe! Anyway wee fata kile roho yako inapenda!!

Halafu tena alikua mlevi? Lazima walimchapia tuu! (Demu yoyote hawezi kukutumia picha ya chupi kama hujambandua bado)
 
Back
Top Bottom