Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Kutumiana picha ni kawaida siku hizi ata kama hujambandua
Nenda badoo uko ukajionee mkuu

Kama ndivyo demu wako alivyokuambia basi basi Mkuu kazi unayo. Vicheche vilivyokubuhu ndio zao kutuma picha za matangao. Demu wa ukweli hatumitumi mambo yake ovyo...Unless hiyo picture uipige wewe mkuu!
 
hivi tukuitaje wewe na mwenzio....makahaba au....5yrs mnatoooo.....b...na tuuu....kweli huu ni uzinifu uliokubuhu....
mwache bana atafute teste ingine...ushachacha wewe.....anatafuta harufu ya kikwapa kingine......
 
mkuu simaanishi wanawake walio seto
Namaanisha hao madanga..maana wapo wengi kuliko hata waliotulia
 
Wadau nimemuomba mod afunge thread kutokana na mkanda wetu kufikia tamati..

Nawashukuru wote mlio chapa keyboard zenu either kwa wema/mabaya
 
hivi tukuitaje wewe na mwenzio....makahaba au....5yrs mnatoooo.....b...na tuuu....kweli huu ni uzinifu uliokubuhu....
mwache bana atafute teste ingine...ushachacha wewe.....anatafuta harufu ya kikwapa kingine......

Brother nimeku note vizuri tangu awali..
ila naona ignorance nayokupa inakufanya uzidi kumwaga povu tu na kurudi mara kwa mara na kujieleza..
Uzuri hii si JF bwana..id haibadiliki...
Well noted..
 
Yap ni kweli na msichana anafanya kusudi mana anajua anapendwa na hata akimdanganya atamuamini.My advice take care,kumvirginate sio ndo kwamba hatojua wanaume wengine,mana wanaume wengi wanahis kwamba eti ukimtoa bikra mwanamke hakuachi asilani.Hyo dhana si kweli cha msingi usimuamini kupitiliza,mchungze taratibu umjue vizuri.Hv kuchat ndo amtumie picha za nusu utupu?be careful bro!

Mia mia mkuu
 
Back
Top Bottom