Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

So you think huyo bwana uliyenaye umeweza kum control?

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Ulitaka kujua kama bwana angu namcontrol au hasara ya mwenza kuchepuka?
be specific....
 
Ulitaka kujua kama bwana angu namcontrol au hasara ya mwenza kuchepuka?
be specific....

My point huwezi control human being kama haeleweki its better kuachana, au kutojali

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
watu mnaoamini wapenzi wenu kiasi hiki hua mnaniacha hoi, anatuma picha ya namna hiyo kwa raia afu bado unajipa moyo ati unakula mwenyewe.. Pole sana, nyie ndo hua mnalizwa mwisho wa siku mnatoa machozi mwanaume mzima..

Binti aliyefikia hatua ya kutuma picha za kijinga sio wife material hiyo, ni material ya kuchezea na kuacha ndio ukweli huo..

mdau hili li-mwanaume mzigo na dem ameshalijua bac li zimbi lake
 
My point huwezi control human being kama haeleweki its better kuachana, au kutojali

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Ungesema hivo mapema, uliuliza kuhusu hasara nami nikakuonesha hasara ilipo
 
Haya mama uvinza

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
teh!teh!ha!ha!ngoja kwanza ncheke....sasa mdogo wangu we ushaona lini masai akashikiwa dhamana wakati anasafiri na mifugo muda wowote....we utasemaje hajalala na mwingine zaidi yako wakti ile kitu haina missed call ariiiiiiiii????na wakati mwingine huwa mnajiumiza bure,kwa hiyo kakuambia kabisa wamezoeana na huyo jamaa hadi akamtumia picha zake akiwa kama yupo na wewe????teh!teh!ha!ha!mdogo wangu ushapigiwa,yaan hiko ni kitendo cha ushahidi tu ambacho kuna makubwa yameshafanyika kabla kisirisiri ila c unajua muonja asali huchonga mzinga???
 
Ni jibu kwanza maswali yangu haya halafu nitakushauri

Ni mkeo mchumba au mpenzi
Je Kwao wanakutambua
Je umelipa mahari
Una mpango nae gani

Please jibu fasta miaka Mitano ni mingi usije kuwa boko haram
 
Habari wadau,

Straight to the point, mpenzi wangu tupo pamoja mwaka wa 5 sasa, tunapendana, hatuna mikwaruzano na tunajaribugi ku solve matatizo yetu kwa umakini zaidi ili tuweze kukaa njia kuu.

On bed hajawahi kulala na mwanaume mwingine zaidi yangu mimi, nilikua wakwanza kwake..(natumai na wa mwisho..lol).
Lately alianza kuwa very busy na simu yake, sana sana watsapp..nikimuuiza anasema ni group tu(mpaka saa 9 usiku anaweza akawa online).
This weekend nilikaa nae geto nikawa na sync files za simu yake in my p.C ,nikafungua whatsapp images nakuangalia sent images kuna picha moja alipiga akiwa na kichupi (ipo nusu,chupi a miguu) ilikua sent ila sio kwangu...nilimbana na aka admit kweli kakosea na kujutia kweli kweli..inshort namimi nilichanganyikiwa ila yeye alizidi zaidi..
Nilimwambia aniache kwa mda niweze nikafikiria vizuri, na leo nilimtafuta na kumsamehe.

Sasa nimekuja kwenu apa mni shauri huyu kuku bandani nimuwekee some ground rules ama?
Binafsi nimemsamehe kwasababu najua nisingeweza kuishi na guilty ya kutomsamehe wakati yeye pia amenivumilia mengi sana pindi nilikua napitia mydrinking phase

NOTE: aliniambia same day asubuhi kabla sijafuma hiyo pic kwamba uyo co worker wake wamezoeana na anampaga company mda mwingi adi watu ofifin kwao wakaanza maneno ya chini ((alikua kama anajikosha kwakuwasema wafanyakazi wenzie wambeya))

Nimekuja apa kwenu kwasababu nahisi pia nahitaji councelling what to do next baada ya kumsamehe ..

Unaposema "On bed hajawahi kulala na mwanaume mwingine zaidi yangu mimi" unahakika gani?..Kwani huwa unamfuata kila anapoenda.. Never Trust A Woman.
 
Habari wadau,

Straight to the point, mpenzi wangu tupo pamoja mwaka wa 5 sasa, tunapendana, hatuna mikwaruzano na tunajaribugi ku solve matatizo yetu kwa umakini zaidi ili tuweze kukaa njia kuu.

On bed hajawahi kulala na mwanaume mwingine zaidi yangu mimi, nilikua wakwanza kwake..(natumai na wa mwisho..lol).
Lately alianza kuwa very busy na simu yake, sana sana watsapp..nikimuuiza anasema ni group tu(mpaka saa 9 usiku anaweza akawa online).
This weekend nilikaa nae geto nikawa na sync files za simu yake in my p.C ,nikafungua whatsapp images nakuangalia sent images kuna picha moja alipiga akiwa na kichupi (ipo nusu,chupi a miguu) ilikua sent ila sio kwangu...nilimbana na aka admit kweli kakosea na kujutia kweli kweli..inshort namimi nilichanganyikiwa ila yeye alizidi zaidi..
Nilimwambia aniache kwa mda niweze nikafikiria vizuri, na leo nilimtafuta na kumsamehe.

Sasa nimekuja kwenu apa mni shauri huyu kuku bandani nimuwekee some ground rules ama?
Binafsi nimemsamehe kwasababu najua nisingeweza kuishi na guilty ya kutomsamehe wakati yeye pia amenivumilia mengi sana pindi nilikua napitia mydrinking phase

NOTE: aliniambia same day asubuhi kabla sijafuma hiyo pic kwamba uyo co worker wake wamezoeana na anampaga company mda mwingi adi watu ofifin kwao wakaanza maneno ya chini ((alikua kama anajikosha kwakuwasema wafanyakazi wenzie wambeya))

Nimekuja apa kwenu kwasababu nahisi pia nahitaji councelling what to do next baada ya kumsamehe ..

da hii thread yako imekaa kizobazoba sana jamaa kama si yakutunga.....hata kama amenivumilia mengi yaan hiyo dizain ya picha aliyotuma si mchezo si ajabu ulikuta kamtumia akiwa mtupu umeamua kumsitiri. jitambue babu acha uzoba sawaa?
 
Hujasamehe bado mkuu kwahiyo acha kujifariji otherwise usingekuwa hapa unaomba ushauri wa nini cha kufanya next.Ukisha samehe there is nothing left to do.

Sasa kwasababu bado huja samehe mimi nakushauri nini cha kufanya next.Mwanamke anayefaa kuwa mke ni yule anaye jiheshimu na kuweka mipaka kati yake na wanaume ambao si wenzi wake,na mwanamke anaye jiheshimu na kuheshimu mahusiano hawezi kutuma picha hata ya mguu wake tu kwa mwanaume mwingine.Kingine kwanini ajenge ukaribu wa kiasi hicho na huyo mwanaume? Kwanini huyo na si mwanaume mwingine yoyote ofisini kwao? She is a girlfriend material not a wife.Kifupi huyo ameshaliwa na huyo jamaa au soon ataliwa so kuna mawili ya kufanya; either kama wewe king'ang'anizi unataka kumbadilisha mpige marufuku ukaribu na huyo jamaa na mwambie hutaki awe na urafiki na wanaume au achana naye na tafuta mwanamke anayeelewa kuwa kunahitajika kuwe na mipaka.

Thanks mkuu,,,
nilifanya kumsamehe na kumpiga marufuku kati yake na mawasiliano na huyo jamaa...
ila jana nimemfwata gafla ofisin kwake na kukuta bado anachat nae.
nimemtema mkuu
 
Mtu mwenye akili zake huwa haombi ushauri JF aka kwa waropokaji

In this world nothing is certain than Tax and Death.
nikiomba ushauri huku nakua nachambua mema na mabaya

najua siyo kila mtu anaye comment anania ya ushauri bali kejeli, utani, sifa, ili mradi, wapo kwenye bad mood n.k

So nakua nachukua ya kuchukua naku ignore yasiyo faa
 
Amekuona mpo miaka mingi lakini haujafanya lolote kuwasiliana na mazazi wake. Anaendelea kuangalia fursa
 
Back
Top Bottom