Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Hahahaha imebidi nicheke tu kwa jinsi unavyojipa maflag na kujipa moyo kuwa wewe ndio wa kwanza na wa mwisho kula papuchi kwa miaka tano yote" bila shaka ulimuumba wewe! Anyway wee fata kile roho yako inapenda!!
Hii concept ya "I was her first" inapumbaza wanaume (baadhi) sana! I mean SOO WHAAAT?? Yaani as if hio ndio inampa kibali cha kuendeleza kubanjuana bila ndoa?! Mwache aendelee kujipa matumaini halafu binti akianza mbele atakuja na thread ya "Kanisaliti after 5 years....."
 
Miaka 5 uko na mwanamke tena ulimtoa bikra huoi??? Acha wenzio wale tena wachukue jumla. Nikiona dada yangu yuko na mwanaume 5yrs hakuna ndoa nitamtafutia bwana. Huyo msichana naye pambaf kabisa ameuchezea ubikra adimu. Mkuu oa acha uzinzi.

Mkuu tunamipango hiyo..
Ila ndo hivyo nahis kitumbua kinaingia mchanga
 
Hii concept ya "I was her first" inapumbaza wanaume (baadhi) sana! I mean SOO WHAAAT?? Yaani as if hio ndio inampa kibali cha kuendeleza kubanjuana bila ndoa?! Mwache aendelee kujipa matumaini halafu binti akianza mbele atakuja na thread ya "Kanisaliti after 5 years....."

Bana Eeh nimeshangaa sana
 
Binti amechoshwa na uchumba sugu wa miaka 5 halafu ww mwenyewe hueleweki wala nia ya kutangaza ndoa huna, sasa alikuwa anatafuta jembe(co worker) litakaloweza kumuweka ndani for good.
Umeona eeh? Kaka bado yuko ndotoni eti "On bed hajawahi kulala na mwanaume mwingine" Miaka inasonga yeye anafurahia ufalme kumbe hekalu lishavamiwa na mfalme mpya
 
Brother hapo unachapiwa, acha kujitoa ufahamu.

Kama mtu anathubutu kutuma picha ya kichupi inamaana kuna kitu wanashare.

Huyo mpenzi wako anakupimia tu, ashakuona zoba.

A thought for bread
Nashukuru mkuu kwakunielewesha
 
Utaonyeshaje utupu wako kwa mtu via mtandao? Mahusiano yenyewe siku hizi hayana dhamana, vijana wenyewe akili fupi, mkikosana anakudhalilisha mtandaoni..

Sijui mabinti watajifunza lini..
 
Umekaa nae miaka 5...bado hujamuoa unagegeda bure, bila shaka na ww haumthamin, sasa wenzako wanaona ntakipata lini,, umegundua thamani yake povu linakutoka... Muoe mkuu na yy kishakuona ww sio, anaendelea na maisha yake kiaina
 
Umesha-mkanya,inatosha.

Msisitize kuwa hupendi ukaribu wake wowote na mwanaume yeyote.

Akiendelea,haina budi kutafuta alternative.
 
Nyie mnaosemeaga nafsi za wenzenu ndo huwa mnafanywa vibaya, we sema tu unampenda sio mnapendana
na hilo swala la kumegwa ni Siri yake mwenyewe usiconclude kuwa hafanywi
huyo co-worker kama hali basi yupo mbioni kula.
 
msema kweli mpenz wa Mungu. Ww mtoto unaongeaga point sana huwa nawashangaa sana baadhi ya vidume wenzangu et tunapendana?! Au et niko peke yangu hakuna anayemgonga?! Huko ni kujidanganya au kuukataa ukweli.... Ww mtoto nmekupenda bure ila sio kimapenzi niliona unaanza kuingia pm kuniandikia namba yako muone hahahaa
 
Kutumiana picha ni kawaida siku hizi ata kama hujambandua
Nenda badoo uko ukajionee mkuu

duh yaan nimeshangaa sana...kwahyo mwanaume mwenzio katumiwa hiyo picha tena ya hivyo unasema kawaida!!! mmh hatari maana wengine hata utume umevaa baibui utatafuta sababu mia za kujibu kilichokusibu hadi umtumie picha mwanaume...eti co'worker hata kama mapenzi upofu ila kwa dunia ya leo........
 
msema kweli mpenz wa Mungu. Ww mtoto unaongeaga point sana huwa nawashangaa sana baadhi ya vidume wenzangu et tunapendana?! Au et niko peke yangu hakuna anayemgonga?! Huko ni kujidanganya au kuukataa ukweli.... Ww mtoto nmekupenda bure ila sio kimapenzi niliona unaanza kuingia pm kuniandikia namba yako muone hahahaa
Mimi evelyn salt nimekupm wewe?kukupa namba?
taratibu usijenivunjia ndoa....
 
Back
Top Bottom