Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

what to do next

IFANYIE VIPIMO GEGEDO LAKE

PIMA UKUBWA ULIOKUWEPO TOA KWA ULE WA AWALI

kama jibu ni 0 mpe papuchi kama jibu ni_ negative basi guve him papuchi at ur own risk

Hujamuelewa mkuu! anaeongelewa hapa ni mdada sio me!
Kifupi ni kwamba hawezi kumzuia huyo co worker asichafue hali ya hewa.
 
Ahahahaha eti wa mwisho,hata koleo likiisha mpini huwa tunachomeka mwingine!
 
Miaka 5 uko na mwanamke tena ulimtoa bikra huoi??? Acha wenzio wale tena wachukue jumla. Nikiona dada yangu yuko na mwanaume 5yrs hakuna ndoa nitamtafutia bwana. Huyo msichana naye pambaf kabisa ameuchezea ubikra adimu. Mkuu oa acha uzinzi.
 
Habari wadau,

Straight to the point, mpenzi wangu tupo pamoja mwaka wa 5 sasa, tunapendana, hatuna mikwaruzano na tunajaribugi ku solve matatizo yetu kwa umakini zaidi ili tuweze kukaa njia kuu.
On bed hajawahi kulala na mwanaume mwingine zaidi yangu mimi, nilikua wakwanza kwake..(natumai na wa mwisho..lol).
Lately alianza kuwa very busy na simu yake, sana sana watsapp..nikimuuiza anasema ni group tu(mpaka saa 9 usiku anaweza akawa online).
This weekend nilikaa nae geto nikawa na sync files za simu yake in my p.C ,nikafungua whatsapp images nakuangalia sent images kuna picha moja alipiga akiwa na kichupi (ipo nusu,chupi a miguu) ilikua sent ila sio kwangu...nilimbana na aka admit kweli kakosea na kujutia kweli kweli..inshort namimi nilichanganyikiwa ila yeye alizidi zaidi..
Nilimwambia aniache kwa mda niweze nikafikiria vizuri, na leo nilimtafuta na kumsamehe.

Sasa nimekuja kwenu apa mni shauri huyu kuku bandani nimuwekee some ground rules ama?
Binafsi nimemsamehe kwasababu najua nisingeweza kuishi na guilty ya kutomsamehe wakati yeye pia amenivumilia mengi sana pindi nilikua napitia mydrinking phase

NOTE: aliniambia same day asubuhi kabla sijafuma hiyo pic kwamba uyo co worker wake wamezoeana na anampaga company mda mwingi adi watu ofifin kwao wakaanza maneno ya chini ((alikua kama anajikosha kwakuwasema wafanyakazi wenzie wambeya))

Nimekuja apa kwenu kwasababu nahisi pia nahitaji councelling what to do next baada ya kumsamehe ..

Brother hapo unachapiwa, acha kujitoa ufahamu.

Kama mtu anathubutu kutuma picha ya kichupi inamaana kuna kitu wanashare.

Huyo mpenzi wako anakupimia tu, ashakuona zoba.
 
Ni vyema umemsamehe.

Ila miaka 5 yote hiyo unampindua tu mwenzio????

Mwambie huyo binti ni ujinga kutuma pics za uchi kwa mtu. Akizikuta kwenye mitandao atalia na nani??
 
Habari wadau,

Straight to the point, mpenzi wangu tupo pamoja mwaka wa 5 sasa, tunapendana, hatuna mikwaruzano na tunajaribugi ku solve matatizo yetu kwa umakini zaidi ili tuweze kukaa njia kuu.
On bed hajawahi kulala na mwanaume mwingine zaidi yangu mimi, nilikua wakwanza kwake..(natumai na wa mwisho..lol).
Lately alianza kuwa very busy na simu yake, sana sana watsapp..nikimuuiza anasema ni group tu(mpaka saa 9 usiku anaweza akawa online).
This weekend nilikaa nae geto nikawa na sync files za simu yake in my p.C ,nikafungua whatsapp images nakuangalia sent .
la kwako pekee ni kaburi.. mengine tuna share...
5 solid years bila marriage na bado ameshikilia? jionee aibu kidogo joooh...
dont you think anakutafutia mbadala, yani plan B?
 
Miaka 5 uko na mwanamke tena ulimtoa bikra huoi??? Acha wenzio wale tena wachukue jumla. Nikiona dada yangu yuko na mwanaume 5yrs hakuna ndoa nitamtafutia bwana. Huyo msichana naye pambaf kabisa ameuchezea ubikra adimu. Mkuu oa acha uzinzi.

labda walianza wakiwa 15/16/17yo......
 
Yap ni kweli na msichana anafanya kusudi mana anajua anapendwa na hata akimdanganya atamuamini.My advice take care,kumvirginate sio ndo kwamba hatojua wanaume wengine,mana wanaume wengi wanahis kwamba eti ukimtoa bikra mwanamke hakuachi asilani.Hyo dhana si kweli cha msingi usimuamini kupitiliza,mchungze taratibu umjue vizuri.Hv kuchat ndo amtumie picha za nusu utupu?be careful bro!
Brother hapo unachapiwa, acha kujitoa ufahamu.

Kama mtu anathubutu kutuma picha ya kichupi inamaana kuna kitu wanashare.

Huyo mpenzi wako anakupimia tu, ashakuona zoba.
 
Back
Top Bottom