Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

Abraham na hata Yesu mbona walikuwa wanaenda juu milimani kuabudu? Hata Mussa alikuwa anapanda mlimani.Kwa upande wa Yesu nakumbuka tukio like ambapo Simon Petero anasema tujenge vibanda vitatu.
Kupanda porini sio kwenda kuabudu miti
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Kama unavyomshangaa kaka yako kuabudu anavyoabudu, mimi nakushngaa wewe kuabudu binaadam mwenzio.

Yesu, alayhi salaam, ni Muislam.
 
Yesu ni Muisilamu aliyefuata nguzo tano za uisilamu??
 
Kabla hujaingia humu Kumuanika Kaka Yako Muwe Mnajiulizaga haya

1.. Ninapoomba Mtakatifu Fulani wa Kanisani kwangu huwa naabudu mzimu au laah

Ukiona huwa unasema Mtakatifu Fulani niombee jua ww na Kaka Yako hamna Tofauti

Yesu mwenywe aliabudu Mizimu
Kumuomba Mtakatifu ni kupoteza sala yako bure, Mtakatifu still amekufa ajafika mbinguni.Hana msaada wowote.
Mzimu ni shetani
 
Kama anaabudu mizimu usiingilie imani yake ilingane na yako
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Kwenye ile story yako ulisema wewe ni Msabato, vip ulibadilisha dini!?
 
Sasa ibada gani ya kipumbavu hapo. Mbona wewe unaamini mfalme wa mayahudi
 
Kuabudu mti wewe unaona akili ipo sawasawa. Unaabudu kitu ambacho naweza kwenda kukata na Shoka likawa kuni ya kupikia
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
si ajabu ibada zako wewe ndio za kipumbafu.Una uhakika gani kuwa YESU ndio yuko sahihi.Je una uhakika gani kuwa mtume Mohamedi ndio yuko sahihi?
hivi unajua wazungu walitumia dini unayoabudu wewe kutuingiza chaka tukatawaliwa?hivi unajua waarabu pamoja na kutuletea dini lakini pia walikuwa wanatufanya watumwa.
Wewe ndio unaonekana mpumbafu kile kitendo cha kwenda kujisaidia porini inaonekana hujastarabika.
Muache kaka yako unachoamini wewe sio lazima umlazimishe mtu amini
na ndio maana mimi nasemaga dini ni kama vyama vya siasa kila dini inatafuta njia ya kumuabudu mungu
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Siku hizi simu hata za vitochi vina kamera,ulishindwa hata kuchukua kapicha kidogo kwa ajili ya ushahidi...?
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Hehehehe
Hahahaha
Dini
 
Kumuomba Mtakatifu ni kupoteza sala yako bure, Mtakatifu still amekufa ajafika mbinguni.Hana msaada wowote.
Mzimu ni shetani
Mzimu ni Roho za Waliokufa hata Wewe ukifa Utakuwa Mzimu
 
Kabla hujaingia humu Kumuanika Kaka Yako Muwe Mnajiulizaga haya

1.. Ninapoomba Mtakatifu Fulani wa Kanisani kwangu huwa naabudu mzimu au laah

Ukiona huwa unasema Mtakatifu Fulani niombee jua ww na Kaka Yako hamna Tofauti

Yesu mwenywe aliabudu Mizimu
Ila watu khaàaaa jibu konki moja tu[emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom