Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
- Thread starter
- #41
Haina shida chamsingi usiabudu mizimu tuuKama na wewe Roma nimpagani pia wakristo wa kweli ni Orthodox
Haina shida chamsingi usiabudu mizimu tuuKama na wewe Roma nimpagani pia wakristo wa kweli ni Orthodox
Huna akiliBasi Usiende Kanisani maana Yesu alitolewa Sadaka kwa Ajili yenu.
Tunaenda kumshitakiKwani wewe kinachokuuma nini amini unacho amini sio kuita wenzio wapumbavu kila mtu na imani yake hata ukimsema haina faida yoyote kwani kashakua na mapenzi ya kuabudu mizimu hata mkimpereka kanisani kwa lazima atakubari ila moyoni utabaki mzimu so fata yako yake hayakuhusu kila mtu ana haki ya kuamini anacho amini
Biblia umesemaUna uhakika gani kuwa Mungu yuko kanisani?
Hawa ni watu wa mungukanisani wapo pia... wakina yakobo, ibrahim, isaka nk...
Nina Akili Timamu. Maana Wewe ndio huna Akili timamu, unasema Mizimu inatoa Kafara. Umesahau kwamba Yesu alitolewa Kwa Ajili yenu kama Mnavyoamini. Mwanakondoo alichinjwa kwa Ajili Yenu.Huna akili
Mwambie mama ba mdingi fasta atawaua huyo shetani mbaya kamuingia..Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.
Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.
Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!
Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.
Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Wewe ni Mrombo wa Mengwe, mamsera au Manda.Aisee watu waliokulia imani flani ni ngumu kutochangama na mabo hayo. Mimi nimetoka kwenye familia ya kichaga watu bado wana imani za mizimu na huku wanaenda kanisani. Nishaona Tanga watu wanasoma kisomo cha Koran wanaisomea mizimu, kisha wanachinja na kufanya matambiko. Sharti kila kilichopikwa ni marufuku kwenda nacho nyumbani, lazima kiliwe sehemu iliyokuwa inaabudiwa. .
Mdogo wangu akiwa mdogo alipelekwa mwananyamala kwa kuingiza mbegu ya chungwa puani. Madaktari walichoma sindani mishipa yote ili mtoto apige chafya lakini wapi. Alikuwa anapumua kwa shida sana madaktari walipambana sana. Mzee kuona haieleweki akatoka nje ya hospital, akatema mate chini na kuomba mzimu kwa kichaga "vameku na vasheku va kasha, ngivaitereveni.....". Mzee kuingia wodini kumshika mtoto kapiga chafya mbegu kule 🙂
wale madaktari walishangaa sana ila ndo ikawa hivyo.
Ila Mungu anaweza, na vijawa wamtafute kwa kuwa Mungu anafanya miujiza mikubwa zaidi. Roho wa Bwana ametenda makuu mengi zaidi ya haya, nimeona hili kupitia mke wangu. Bwana ni Mwema siku zote, msiache kumsihi. .
Mungu akiwa kanisani. Kwahiyo Huku mtaani anamwachiaga nani ? Na Mbinguni anamwachia Nani ?Biblia umesema
Duh mwogope munguMi kuna nguo ukiona nimevaa jua naenda kwa mganga. Ukiona nimevaa shati la satin la orange au jeusi jua siku hiyo inaenda kuongezwa hirizi nyingine.
Ivi una akili sawasawa weweMungu akiwa kanisani. Kwahiyo Huku mtaani anamwachiaga nani ? Na Mbinguni anamwachia Nani ?
Ndoivo nawaza namna yakuliwasilisha hili swala maana ni jambo Zito sanaMwambie mama ba mdingi fasta atawaua huyo shetani mbaya kamuingia..
Hizo ndiyo inabada halisi,nyie wa kanisani mmelishwa limbwata la wazungu na akili yenu imechukuliwa.Mpwayungu Mzee wa chai kama Mpwayungu Mzee wa chai bila kitafunwa.Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.
Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.
Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!
Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.
Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Kwanini kaka yako alikwambia anamshihaki Mungu?Sawa lakini mungu hazihakiwi
Basi mbona anaabudu mashetaniKwanini kaka yako alikwambia anamshihaki Mungu?
Za kuabudu watu waliokufaHizo ndiyo inabada halisi,nyie wa kanisani mmelishwa limbwata la wazungu na akili yenu imechukuliwa.Mpwayungu Mzee wa chai kama Mpwayungu Mzee wa chai bila kitafunwa.
Abraham na hata Yesu mbona walikuwa wanaenda juu milimani kuabudu? Hata Mussa alikuwa anapanda mlimani.Kwa upande wa Yesu nakumbuka tukio like ambapo Simon Petero anasema tujenge vibanda vitatu.Mwishoe uje kuumwa nyoka kufata watu maporini mkuu!
Bangi mbaya sana , wewe ndiye wake wanaivuta bange mpk marinda yanalegeaKila mtu aabudu anachoona ni sahihi kuna jamaa huku anaitwa ADRIZ yeye anaabudu Nguruwe.