Ni hivi ninachokwambia kila mtu ana Mungu anae muamini Ukienda kwa wahindi utakuta wanaabudu ng'ombe Kama Mungu wao,Wewe pia una Mungu wako ,Waislam wanamuabudu Allah,wengine ndo hao wanaanabudu miti na vinginevyo DINI ZENYEWE WAMELETA WAZUNGU NA WAARABU JE DINI ZA MABABU ZETU HAZIKUA SAHIHI ZA WAZUNGU NDO SAHIHI? KILA MMOJA AISHI NA ANACHOKIAMINISawa lakini mungu hazihakiwi
Mungu wako sio Mungu wanguSawa lakini mungu hazihakiwi
Na mimi ndo nlitaka kumuuliza ule uzi wake umeishajeee...Ushatoka lindi mkuu? Maana kila siku uko sehem mpya. Tunasema hivi, malizia uzi wako wa ile safari ndo tutaanza kuona uko serious

Sasa laana Inatoka wapi. Kwani Yesu si aliongea na Mizimu ya Musa na Elia.Ulaniwe wewe mwanadamu
Hakuna Dhambi kuabudu Mizimu. Ni Maamuzi yake. Yeye ameamua kuabudu Mizimu, kwani amemkosea Nani??Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.
Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.
Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!
Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.
Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Huyu ni kaka angu siwezi kumwacha aangamieIngekuwa busara kila mtu awe bize kumwabudu mungu anayeona ni msaada kwake. Achana na maisha yasiyokuhusu bro.
Hapana siwezi kukubali, akija kututoa kafara jeHakuna Dhambi kuabudu Mizimu. Ni Maamuzi yake. Yeye ameamua kuabudu Mizimu, kwani amemkosea Nani??
MadSasa laana Inatoka wapi. Kwani Yesu si aliongea na Mizimu ya Musa na Elia.
Wakristo wengi mnaabudu nini kama si Mizimu. Mmewabatiza Watakatifu. Mmeacha Mizimu yenu mnaabudu Mizimu ya Wazungu na Watu wasiowajua

Niliushusha mbali na hapoKwahio ukahailisha kushusha mzigo![]()

Hapana mizimu inatabia ya kutoa watu kafara na wahanga ni sisi ndugu zakeKILA mtu ashinde MECHI zake
kanisani wapo pia... wakina yakobo, ibrahim, isaka nk...Wanaomjibu ni mizimu in English is Ghost![]()
Sawa lakini mungu hazihakiwi
Huo ndio ukweli hata kama Ukikataa
Kwani wewe kinachokuuma nini amini unacho amini sio kuita wenzio wapumbavu kila mtu na imani yake hata ukimsema haina faida yoyote kwani kashakua na mapenzi ya kuabudu mizimu hata mkimpereka kanisani kwa lazima atakubari ila moyoni utabaki mzimu so fata yako yake hayakuhusu kila mtu ana haki ya kuamini anacho aminiSamahani sikuweza kumpiga picha angeniona.
Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini Kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikli labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.
Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!
Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.
Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Basi Usiende Kanisani maana Yesu alitolewa Sadaka kwa Ajili yenu.Hapana mizimu inatabia ya kutoa watu kafara na wahanga ni sisi ndugu zake
Kama na wewe Roma nimpagani pia wakristo wa kweli ni OrthodoxSamahani sikuweza kumpiga picha angeniona.