Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

Hebu Lete Ushahidi kwamba Ugunduzi wa Simu unatokana na Vitabu vya Dini? Au msitari wowote wa Vitabu vya Dini yeyote ya Duniani inayofafanua Ugunduzi wa Simu ?

Ugunduzi wa Kitu chochote kile duniani kinatokana na AKILI siyo Dini Yeyote ile.

Waliogundua Moto,Zana za Mawe,Chuma hawakuwa na Dini Yeyote ile Iliyokuwepo Duniani
Wewe kichwa chako kigumu sana
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikiri labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Muombe Mungu wako amrudishe kama hamuabudu yeye.. sio kusema kwa wazazi..
 
Wamissionari walifanya kazi kubwa sana 🙌🙌
 
Wewe kichwa chako kigumu sana
Mimi nataka Kuelewa Ndugu. Uliniandikia hivi👇🏽

Nimekwambia kwenye vitabu vya dini sio biblia peke ake maana ake hata wao wanachukua maarifa kwenye dini zao au wanasoma vitabu vya dini yoyote ili kuiba maarifa ya ugunduzi

Sasa Mimi nimekuomba Ushahidi wa Maneno yako Hayo kwamba Hao wachina Walichukua mstari fulani kwenye Dini Yeyote wakagundua Kitu Fulani mfano Simu iligunduliwa kutoka Mstari gani katika Dini Fulani. Kuliko wewe kuniambia tu Wanachota Maarifa Kwenye Vitabu vya Dini . Mimi nitakuaminije kama Hujaniletea Ushahidi wa Mistari au Aya Zilizotumika katika Ugunduzi
 
Wacha kujidanganywa na kudanganywa kijinga.

Wapi Yesu kasema "Mimi Mungu" au "Niabuduni"?
Allah anakiri sifa za Mungu na Yesu anajitaja pata darsa

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
 
Sema mwanangu hujawahi kua serious.

Thread zako nyingi zina ukakasi sana.

Anyways!! Kale ka stori kako unamalizia lini?.
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikiri labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Ww mwendawazimu sasa huku baba yako na ndgu zako ndo wako humu.?
 
Wee mpumbavu hiyo dini unayo abudu uliletewa na wazungu kaka Yako Imani yake ipo sahihi kabisa
 
Allah anakiri sifa za Mungu na Yesu anajitaja pata darsa

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
Amina mtumishi
 
Mimi nataka Kuelewa Ndugu. Uliniandikia hivi[emoji1427]

Nimekwambia kwenye vitabu vya dini sio biblia peke ake maana ake hata wao wanachukua maarifa kwenye dini zao au wanasoma vitabu vya dini yoyote ili kuiba maarifa ya ugunduzi

Sasa Mimi nimekuomba Ushahidi wa Maneno yako Hayo kwamba Hao wachina Walichukua mstari fulani kwenye Dini Yeyote wakagundua Kitu Fulani mfano Simu iligunduliwa kutoka Mstari gani katika Dini Fulani. Kuliko wewe kuniambia tu Wanachota Maarifa Kwenye Vitabu vya Dini . Mimi nitakuaminije kama Hujaniletea Ushahidi wa Mistari au Aya Zilizotumika katika Ugunduzi
Soma biblia utajua
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikiri labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi Jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna ya kuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Sioni kosa la kaka yako, dini ni imani.
 
mambo ya uhuru wa kuabudu hayo , jikaze tu maana sio kila unachokiamini wewe na wenzio wote waamini ndiomaana kuna hata ambao hawana dini lakini wote ni binadamu, hizi dini zimekuja tu tena nyingine na ndege, meli etc etc. Ndiomaana India kuna Dini zaidi ya 200 lakini maisha yao yanasonga tu kikubwa usiathiri mambo ya mwingine baaasi. Ni kama wala nguruwe alimuradi hawakuathiri wewe na kwao haiwaletei madhila basi waachwe wafanye yao, kila mtu ana uhuru wake na maamuzi yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom