Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

Hapana huyu haabudu inaonekana ana mapepo inabidi apelekwe kwenye makanisa ya kilokole akaombewe hayo mapepo yaende kwenye nguruwe
Huko unakodhani anatakiwa apelekwe, anakuamini!? Shoda ni kuwa unadhani nyie kuwa ndugu basi lazima afuate mnachofanya nyie wengine. Wakati huo huo kwa kutumia undugu huo huo nyie hamtaki kufuata anachokiamini yeye. Habari ya mapepo ni imani yako siyo yake
 
Ulaniwe ewe roho itokayo kuzimu. Ingekuwa dini zililetwa kutupumbaza basi huko zilikotoka kusingekuwa na makanisa wala misikiti maana wanajua ilikuwa ni kwaajili ya kutupumbaza tu Waafrika. Lakini mbona hata wao wanazidi kuabudu inamana wazungu wanaoabudu wanajidanganya kwa kitu wanachokijua?. Mfano unajua fika kuwa dawa flani haiponyi nilidanganya wagonjwa ili wafe je wewe mtengenezaji utaendelea kunywa hiyo dawa ilihali unajua kabisa wewe ndoumetengeneza na ukinywa itakuua?.
mpaka hapa uko sawa kabisa
Ila msisitizo wangu usidharau imani ya mtu maana hata yako huna uhakika iko sahihi kiasi gani.
Tembea uona mengi hivi unajua dunia hii hii kuna dini tofauti na ukiristo na Uislam mfano mzuri tu huko YESU alikozaliwa sio wakristo ila ni Judas.Kuna dini ambazo sio za Ibrahim mfano Hindu,Sikh,Jain,Zoroaster hii ilikuwepo miaka 3000 iliyopita kabla ya ujio wa YESU,Shinto,Taoism,Rastafari,Bahai,Budha n.k
 
We akili nahisi hazimo, au huko kanisani kuna vitu umekosa kufundishwa!

Hivi je kama yeye ameijengea madhabahu ya Bwana huko porini utajuaje? Uliona anuzunguka mti? Kwani Musa alijenga madhabahu ya Bwana wap? Elia je??

Akili ndogo!
 
Mi kuna nguo ukiona nimevaa jua naenda kwa mganga. Ukiona nimevaa shati la satin la orange au jeusi jua siku hiyo inaenda kuongezwa hirizi nyingine.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Maandiko yote matakatifu (Quran na Biblia) yanaagiza kumwabudu Mungu peke yake na sio kingine.

Ipo miungu mingine wanadamu (wazungu, sisi waafrika, waarabu, wachina japanesse etc) wamekuwa wakiiabudu miaka na miaka.

Binadamu aliumbwa kwa namna ya kuhitaji muunganiko wa nguvu kutoka rohoni utakao msapoti aweze kukamilisha au kufanya mambo yake mfano biashara, kilimo, siasa, viwanda etc.

Mizimu ni roho za kuzimu means hazitoki kwa Mungu. Mizimu ni moja ya spritual help and saport ambayo wanadamu wamekuwa wakiitumia kukafanikisha mambo yao.

Yes and is true watu wanafanikiwa sana kutokana na kuabudu mizimu. Kuna koo au mataifa yanafanya vizuri mno when it comes to wealth, education, bussness and politics achievement.

Mnaweza kuwa mna struggle ku achieve jambo au mna compete kupata kitu kilekile na mwingine lakn mwenzako anakupiga mbonge la gape. Kumbe behind the scene kuna spritual help ina mpush.

Kama nilivyosema, kuabudu mizimu ni moja ya njia za kutafuta usaidizi wa nguvu za rohoni. Yes utazipata lakini kuna price you must pay and one of them ni kuiabudu mizimu hiyo na ndani ya ibaada hizo hujumuisha utaoji kafara ( wanyama, mazao na binadamu). Lazima utoe kitu in exchange. Nipe nikupe.

Hatari nyingine ya kuabudu mizimu ni pale inapokiuka masharti. Kuna utaratibu utatakiwa kuufata maisha yako yote. The moment unageuka kuna revenge za balaa huibuka na hizi huwakumba hata waliokuwa hawajihusishi as long as are ralated and connected na huo ukoo.

Hatari kubwa zaidi ya zote ni kwamba humwabudu Mungu wa kweli anayepaswa kuabudiwa.

Mtoa mada upo sahihi kumzuia ndugu yako dhidi ya hicho anachokifanya. Lakini pia unatakiwa ujue ni njia gani sahihi ya kumtoa huko.
 
Ushatoka lindi mkuu? Maana kila siku uko sehem mpya. Tunasema hivi, malizia uzi wako wa ile safari ndo tutaanza kuona uko serious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] katuacha katika mataa
 
Ulaniwe ewe roho itokayo kuzimu. Ingekuwa dini zililetwa kutupumbaza basi huko zilikotoka kusingekuwa na makanisa wala misikiti maana wanajua ilikuwa ni kwaajili ya kutupumbaza tu Waafrika. Lakini mbona hata wao wanazidi kuabudu inamana wazungu wanaoabudu wanajidanganya kwa kitu wanachokijua?. Mfano unajua fika kuwa dawa flani haiponyi nilidanganya wagonjwa ili wafe je wewe mtengenezaji utaendelea kunywa hiyo dawa ilihali unajua kabisa wewe ndoumetengeneza na ukinywa itakuua?.
Wewe kutoa maneno ya Laana Haiwezi mlaani Mtu... Ni kawaida Sana Kwa Watu wakiulizwa maswali kuhusu imani zao wanakuwa wakali.

Unajua sababu ni Nini?
Hayo mambo mnayosimamia si Ya Kwenu ndio maana Ni ngumu sana Kuyatetea maan Nyie wenyewe hamyajui yametoka wapi. Mmeletewa tu
 
Uliiona hiyo mizimu????

Kama hukuiona, nakushauri punguza mihemko fatilia taratibu, anafanya nn na kwann anafanya hivyo, je anafanya kwa ubaya au kwania njema?
 
Halafu ukute huyo Broo ndo anaimani ya kweli,siyo wewe hadi upigiwe kengele ndo ukasali,Mungu wa wote siyo wa Misikiti na Kanisani pekee
 
Wewe kutoa maneno ya Laana Haiwezi mlaani Mtu... Ni kawaida Sana Kwa Watu wakiulizwa maswali kuhusu imani zao wanakuwa wakali.

Unajua sababu ni Nini?
Hayo mambo mnayosimamia si Ya Kwenu ndio maana Ni ngumu sana Kuyatetea maan Nyie wenyewe hamyajui yametoka wapi. Mmeletewa tu
Akili huna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom