Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Wadada wengi wazuri hawaoleki.
Kuna mahali huwa wanapoteana.
Vijana wakiwa wanawataka wao wanakimbizana na wazee.
Ukifika umri wa yeye kuzeeka ndio anataka na nyie muwe serious naye.
Ujinga huo.!!
Tena huyo atakuwa anauza. Hayo maneno makali yatafsiri kwa kinyume chake.

♀️