Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

Unasema hapana kwakuwa na wewe ni mhusika na mdau wa hizo suruali.
Surely nakuambia suruali za kubana ni vazi la kikahaba. Na kama mwanaume atamwoa aliyevaa suruali ya kubana basi ni mwanaume dhaifu anayepelekwa na mihemko na kuna 50%/50% ndoa kudumu au kuvunjika.
Binafsi ukinivalia suruali la kubana nakuhesabu kahaba au mtu usiyeridhika na mpenzi wako au mume wako.
Unapishana na makahaba wangapi kila siku kwenye mishe zako?
Na mbona makanisani hizo suruali za kubana zinavaliwa?
 
Ukiona kanisa wanaruhusu mavazi ya ajabu ujue washaondoka ktk mstari wa Mungu na wanachojali ni wungi wa waumini(watoa sadaka).
Nguo ni symbol ya kazi ya mtu.
Ndo maana maaskari wana code zao za uvaaji, wapishi wana code zao pia na wengine na wengine.
Unapishana na makahaba wangapi kila siku kwenye mishe zako?
Na mbona makanisani hizo suruali za kubana zinavaliwa?
 
Maisha ya sasa ni ngumu kujua muoaji ni yupi..unaweza mpata mtu five good years pamoja ghafla anakumwaga halafu umri umeenda..sio kila mtu alidanga
Miaka mitano kwenye mahusiano usijue lengo la mtu?, labda kama mmeanza mkiwa watoto.
 
Mwanaume akikupenda kakupenda sana .
Hata uwe malaya unajua ,unamadharau huna adabu mwanaume akishapenda kapenda .
Nausimuhukumu mtu kwa maana duniani hakuna aliyemsafi hata mmoja wote mbele zake Mungu tunamakosa na ndio maana kila ijumapili tunatubu dhambi zetu.
So ukija na suala la kuchagua hata wewe mwanaume .
Utakosa penda kilichopo kwa maana ndio kipo kwa muda huo.
Umenipata kila mwanamke amepangiwa na Mungu kitu unashangaa huolewi ila ukapata mtoto.
Unashangaa wewe umeolewa
Naunashangaa umeolewa unafamilia nzuri na maisha mazuri.
Ila mkae kujua sio kila mtu ataolewa.
Wapo ambao sio destiny kuolewa so usiilazimishe.
Wengine wanalazimisha kuolewa namtu ambaye hana huo mmpango.
Dah kuolewa ni mipango ya Mungu.
 
Kila mtu na vipaumbele vyake..anataka kile atachokifurahia. Sio mradi yeyote
Hapana
Hawa ndo wale ambao kuwa nao lazima uwe na cv. Utakuata anataka mwenye degree, mwenye kazi ya maana au biashara kubwa. Wakati huo muda unakua unasonga mbele.
Hapo ukute kachangia harusi zaidi ya 50 za marafiki zake
 
Ukiona kanisa wanaruhusu mavazi ya ajabu ujue washaondoka ktk mstari wa Mungu na wanachojali ni wungi wa waumini(watoa sadaka).
Nguo ni symbol ya kazi ya mtu.
Ndo maana maaskari wana code zao za uvaaji, wapishi wana code zao pia na wengine na wengine.
Basi ndo hivo...tunavaa na baba mchungaji hasemi
Makanisa wanavaa nguo fupi
 
Miaka mitano kwenye mahusiano usijue lengo la mtu?, labda kama mmeanza mkiwa watoto.
Wapo hadi mwingine miaka nane jamaa akazingua bahati nzuri akaolewa baada ya mwaka mmoja tena na mtu aliekua anampotezea kumuona si type yake
 
Back
Top Bottom