Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

Nilijisajili kama mwanaume kwenye dating site moja ili kuona yanayofanyika upande wa akina dada wenzangu na mapicha yao
Basi katika kupangusa kushoto kulia nkakutana na huyo dada
Kwakweli ni mzuri hadi sura. Kaandika kwa ukali aisee "if you are not serious dont text me.. I need only serious relationship no jokes pls.. I need a string attached relationship.. Marriage
Ana picha kibao mzuurii. Sasa najiuliza wanaume hawamuoni huko uraiani hadi aingie kwenye dating sites kutafuta mume?
Mi najua sie akina mti mkavu shape ya mgomba sura ya baba ndo wa kukimbilia huko
Sasa kama ye yupo huko sie akina mwajuma ndala ndefu migulu baja twende wapi??
Kwani wanaume mna nini siku hizi? View attachment 921815
Sasa Dada yangu ungekuwa Mwanaume unaweza ukamuoa huyo?
Hao ni vitafunwa tu hata akikuzalia watoto watakua na tabia za mama yao itakua familia ya marofa.
Mwanaume mwenye akili hutafta Mke kwa ajiri ya kuwa na familia yenye akili.

KAMA SHEPU HATA BATA ANAYO
 
Yawezekana pia akawa hana kauli nzuri, akijivunia shape yake...ikumbukwe hatupendi kauli mbovu sisi....

Yawezekana anapoishi kuna mashoga wengi hivyo wote ni kama wanawake tuu...

Yawezekana papuchi yake ni XXL hivyo kila aliyeingia hajawahi kufit..
 
Ubaya wake nini?

Yawezekana
Yawezekana pia akawa hana kauli nzuri, akijivunia shape yake...ikumbukwe hatupendi kauli mbovu sisi....

Yawezekana anapoishi kuna mashoga wengi hivyo wote ni kama wanawake tuu...

Yawezekana papuchi yake ni XXL hivyo kila aliyeingia hajawahi kufit..
 
Nilijisajili kama mwanaume kwenye dating site moja ili kuona yanayofanyika upande wa akina dada wenzangu na mapicha yao
Basi katika kupangusa kushoto kulia nkakutana na huyo dada
Kwakweli ni mzuri hadi sura. Kaandika kwa ukali aisee "if you are not serious dont text me.. I need only serious relationship no jokes pls.. I need a string attached relationship.. Marriage
Ana picha kibao mzuurii. Sasa najiuliza wanaume hawamuoni huko uraiani hadi aingie kwenye dating sites kutafuta mume?
Mi najua sie akina mti mkavu shape ya mgomba sura ya baba ndo wa kukimbilia huko
Sasa kama ye yupo huko sie akina mwajuma ndala ndefu migulu baja twende wapi??
Kwani wanaume mna nini siku hizi? View attachment 921815
Sasa si unamuona kabisa ni KAHABA huyo? Mwanamme gani anataka DEGE LA JESHI?
 
Wengi wanakoseaga wakati wa usichana wao,
Hudili na aina flani ya wanaume wale wenye pesa na HB sasa wakati waoaji tupo msakoni unakuta anapotezewa mda na mijamaa unapita zako hivi kuoa akina mwajuma
 
Back
Top Bottom