Ndiyo maana hata mimi njimekoma kabisa mademu wa mtandaoni hasa JFUnaweza kupanga kuonana akitokea tu ndo mimi unaweza anguka uzimie wiki nzima
Ndiyo maana hata mimi njimekoma kabisa mademu wa mtandaoni hasa JFUnaweza kupanga kuonana akitokea tu ndo mimi unaweza anguka uzimie wiki nzima
Ulipatwa na nini?Ndiyo maana hata mimi njimekoma kabisa mademu wa mtandaoni hasa JF
WAPO wanaopenda maigizo.
Wanaume hawaangalii sura pekee bali tabia njema, akili na uwezo wa kujituma. Huwezi kuoa kwa sababu mtu ana shepu nzuri...unaoa mtu ambaye atakusaidia majukumu ya familia.
Huenda mtu ana visirani na usumbufu wa kutosha...mke haitaji mbwembwe mkuu
Vipi hajaacha namba ya simu? au ungelitupa hiyo site tu dada
Kwanini rafiki...si mambo yakoKwa hiyo shepu ngoja na mimi nipite kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF!
Mambo yangu? Kwa hiyo nikae hapa nile kwa macho tuuuuu??Kwanini rafiki...si mambo yako
Mambo yangu? Kwa hiyo nikae hapa nile na macho tuuuuu??
Hii picha haina mtu maalum .. wala kichwa hujakikata wewe..wote nliowaona na hii picha kichwa hakipo, nna rafiki yangu kaiweka kabisa kama profile pic yake WhatsApp kisa wanaendana shape. Ka mwezi ushapita...So hauna full picture.Sio fb.zipo full ila nimeweka hapa bila idhini yake na wala simjui
Unamtaka?
tuheshimiane nani mwanaume wa mkoani ?Mwanaume wa mkoani umeongea la maana
Duh!Yes,
Kutulia me sijali kuhusu kutulia,
Awe msafi, ajue kuanda nguo nitakavyo.
Ajue kupika vizuri, atanifaa.
tuheshimiane nani mwanaume wa mkoani ?
Kama anatembeza nyonyo inje ni dhahiri ni mdangaji na jasiri haachi asili.
Ndio maana wanaume wengi hutafta Mke, Mwenye akili kwaajiri ya familia bora na hao kama huyo hutumiwa mara moja kama nyumba ya wageni
Kiburudisho cha saa
Duh!
Hata akiwa anagawa nje hujali ilo?