Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

A man in his stable state of mind wouldn't marry her. Mwanamke wa aina hiyo atafanya ufe haraka kabla hata hujafika 50yrs.
 
Nilijisajili kama mwanaume kwenye dating site moja ili kuona yanayofanyika upande wa akina dada wenzangu na mapicha yao
Basi katika kupangusa kushoto kulia nkakutana na huyo dada
Kwakweli ni mzuri hadi sura. Kaandika kwa ukali aisee "if you are not serious dont text me.. I need only serious relationship no jokes pls.. I need a string attached relationship.. Marriage
Ana picha kibao mzuurii. Sasa najiuliza wanaume hawamuoni huko uraiani hadi aingie kwenye dating sites kutafuta mume?
Mi najua sie akina mti mkavu shape ya mgomba sura ya baba ndo wa kukimbilia huko
Sasa kama ye yupo huko sie akina mwajuma ndala ndefu migulu baja twende wapi??
Kwani wanaume mna nini siku hizi? View attachment 921815
Mimi ngoja nianzie kwako.... HIVI KAMA WEWE UMEJIANDIKISHA HUKO KAMA MWANAUME WAKATI NI MWANAMKE, UNA UHAKIKA GANI KUWA HUYO MTAFUTA MUME KWA UKALI HAJAFANYA KAMA ULIVYOFANYA WEWE?
 
Mimi ngoja nianzie kwako.... HIVI KAMA WEWE UMEJIANDIKISHA HUKO KAMA MWANAUME WAKATI NI MWANAMKE, UNA UHAKIKA GANI KUWA HUYO MTAFUTA MUME KWA UKALI HAJAFANYA KAMA ULIVYOFANYA WEWE?
Sina uhakika but ni yeye na picha kibao...
 
Heee... Sio wote wana stress
Ni tabia ya mtu tu
Kwa vile wewe sio kidume huwezi kuelewa. Ila wanawake wengi waliopewa uzuri wa nje, ule uzuri haswa, wamekosa hekima ya kuishi kwenye ndoa, trust me!! Ndio maana wengine huishia kuwa vipoozeo vya watu.
 
Back
Top Bottom