Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,953
Mbona nilikufuata nikakuta kuna ukuta nikashindwa kupandambona hujanifata sasa..acha hizo
tembea uone unaambiwa
Ukioa inabidi uwe na uvumiluvu wa mengi sana,So hawa hawaoleki kabisa?
Hana lolote huyo usikute dume tu limejipa hilo jina na picha
Ukioa inabidi uwe na uvumiluvu wa mengi sana,
Zaidi kwao kukucheat ni rahisi sababu wanarubuniwa sana na wenye hela.
Basi ndo hivo...tunavaa na baba mchungaji hasemi
Makanisa wanavaa nguo fupi
Makanisa yasiyo na miiko waumini huongezeka kila leo maana kanisa hupigana kuhakikisha wanakuwa na watu wa kutoka kila dhehebu, dini, Tania n.k. Na mbaya zaidi hawadili na kuipindua meza(kubadili mienendo yao).
Wakati mwingine anayoyafanya baba MCHUNGAJI ni mazito gizani afadhali ya waumini. Maana akikemea kwa kidole kimoja vidole 4 vyote vinamtazama yeye
Kikubwa msimamo..wapo wenye msimamo
Wachache sanaa, wanawake wengi wenu kwenye hela hua hampindui.
sijui kwanini nahisi hata wewe sio putinMitandaoni hatuaminiani ID zetu ni fake na hata hiyo picture ukute sio yeye
Sawa huo ni mtazamo wako, lkn kwa mimi ninaetongoza na kuhonga najua yaliyomo.Speechless
Hahaa why chapati?
Ndo chakula pendwa?
Vipi kutulia?
Kwani shida hapo nnUtatumiaje picha za mtu kwa wingi..zipo nyingi

let m gues..hii itakuwa ulikwenda Tagged.Yes,
Kutulia me sijali kuhusu kutulia,
Awe msafi, ajue kuanda nguo nitakavyo.
Ajue kupika vizuri, atanifaa.