.......ahahaha......Phew! kwa sababu za 'kiungwana' kabisa, naomba MwanajamiiOne, kama nilivyomtenga Smile, au Husninyo, au BelindaJacob, na hata nyumba kubwa na wengineo wengi wakongwe humu, wapewe dharura ya kuwa 'watizamaji' kwanza.
Wanaharati hawa, neno lao moja tu unakuwa acquitted, au found guity! King'asti yeye ndo namuona kama aloshika Lethal injection, akiskia "Guilty!" ----atanidunga!
Wanaharati hawa, neno lao moja tu unakuwa acquitted, au found guity! King'asti yeye ndo namuona kama aloshika Lethal injection, akiskia "Guilty!" ----atanidunga!
Dah? Ngoja nende masjid ----fajr- hii
Mwenyezi Mungu aipokee funga yako.
Afu nakumbushia ule mwaliko wa futari.....
....."If I never met you, I wouldn't like you. If I didn't like you, I wouldn't love you. If I didn't love you, I wouldn't miss you. But I did, I do, and I will."
Asante sana kwa kumbukumbu tamu sana maishani mwangu, "Kujipendelea muhimu" na SRM(s).....
:love::love::love:
mkuu tatizo ni :A S-key::A S-key::A S-key:.....nasikia imetupwa kwenye kina kirefu kabisa cha bahari
:love::love::love:
mkuu tatizo ni :A S-key::A S-key::A S-key:.....nasikia imetupwa kwenye kina kirefu kabisa cha bahari
Umepotea sana mpwa hebu fanya mbinu mbinu Mbu akumbukwe
......aiseee 🙁 ,,,dirishani je? Kaweka ya mbao au aluminium?
Dah! ....haya bana. Na hivi nakjua wewe ni mtu wake sana wa karibu, naukubali tu ukweli huo.
Sikuwa na maana mbaya, au kusudia "kuuteka moyo wake" tena, mie basi tu,....
nimemkumbuka sana tu!
:love::love::love:
mkuu tatizo ni :A S-key::A S-key::A S-key:.....nasikia imetupwa kwenye kina kirefu kabisa cha bahari
Si unajua mie nashoot to kill?
Afu nilisema sirudi hapa sijui nimefuata nini!
Dogo unataka kunikwaza sasa....
Mbona unaingilia kazi ya tume ya Rev Desmond Tutu... (The Truth and Reconcialiation commission), tena wakati tuko kwenye maandalizi??
Au unataka na wewe uje uumbuke kama Kombani na Werema kuhusu kuandika katiba mpya?
At this moment, watu kama wewe na King'asti hatuhitaji comments zenu za kutuharibia kazi...
Babu DC!!
......aiseee 🙁 ,,,dirishani je? Kaweka ya mbao au aluminium?
Dah! ....haya bana. Na hivi nakjua wewe ni mtu wake sana wa karibu, naukubali tu ukweli huo.
Sikuwa na maana mbaya, au kusudia "kuuteka moyo wake" tena, mie basi tu,....
nimemkumbuka sana tu!
Halafuw wewe Teamo wewe?
Unajua wenzio tuko kazini, seriously?
Kama vipi, kaa kando usubiri verdict ya jopo la Babu....
It is coming soon.....baada ya siku saba za Lyatonga Mrema...lol!!
Babu DC!!