........nimekukumbuka sana :'(

........nimekukumbuka sana :'(

Si ndio hapo Babu Kimey, yaani Babu Dark City ye anataka wanaume tu, asa wanaume na mambo ya matters of the heart wapi na wapi, nyie huwa sio watu wa mafeelings kiviiiiiiiiiiileeee. Mtakosea step kasha Soulmate abakie na maumivu yake ya moyo, aishie lkunukuu nyimbo zote za R Kelly...........

Babu Dark City come this way.....Mjukuu is crying
 
Last edited by a moderator:
Ehee... Soulmate kumbe sio siri? Haya mie nlikuwa wapi jamani? Haya ni nani huyo ulomgongea mlango, akakufungulia kasha ukatoka akaufunga na kukuachia kumbukumbu tu................. (Naload mguu wangu wa kuku aisee)

Hahahaha.......umenikumbusha ile sredi muruwaaa enzi zileeee za " ulikuwa wapi siku zote?" Kwa hisani ya mkuu Asprin 😉
 
Last edited by a moderator:
Lol We Soulmate si unanjua mie masurprise siyajuagi, ungeniuma skio basi hata PM mwenzio nshakanusha kitambo kuwa sihusiki na kuukiza mtima wako mie! Naanzaje kwanza ? Hebu sema vizuri maan anaanza kuhisi name niingie kwenye jopo la maridhiano ingawa nimeambiwa sina voting power!! (Ila nadhani ntaruhusiwa kuwa na ile ye Veto .........kwa hisani ya Babu DC

Lol.....! Soulmate naweee, ujue mwenzio nipo serious hivyo?! Hahahah....

Nachekea uchungu mie 🙁
 
Babu Dark City come this way.....Mjukuu is crying

Mkuu wangu Kimey, hebu nawe nakuomba ujumuike walau siku moja kwenye hili jopo la Ukweli na Maridhiano, busara zako zonahitajika sana kaka.... Dah!
 
Last edited by a moderator:
Mi nasubiri hilo jopo la babu Dark City, BAK nk. likikamilika tu na mimi naleta langu hapa lol. Mbu una balaa weye ushafuturu kwanza nachelea utafunga siku 40 bila kunywa wala kula kama Yesu upinzani ukianza humu

.....mnh, Maty kama funga ya siku arobaini itasaidia kumuondolea mupenzi machungu nilompatia, mie nipo tayari kutia nia aisee,....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Kimey, hebu nawe nakuomba ujumuike walau siku moja kwenye hili jopo la Ukweli na Maridhiano, busara zako zonahitajika sana kaka.... Dah!
Mkuu Mbu your wish is my command.. nimekuja hapa mpaka kitaeleweka! nakuambia kbla jogoo hajawika utakula Idi kwa roho safeyyy!
 
Last edited by a moderator:
majukumu rafiki....
sasa naona nimerudi hata pa kuanzia sipaoni, unaweza kunipa samare?

Samare rafiki ni kwamba tupo hapa kuunda tume ya ukweli na maridhiano ili Mbu ale Idi yake vizuri maana amegundua kuna kosa alofanya sasa anjutia! Hebu tupe mchango wako hapa?
 
Samare rafiki ni kwamba tupo hapa kuunda tume ya ukweli na maridhiano ili Mbu ale Idi yake vizuri maana amegundua kuna kosa alofanya sasa anjutia! Hebu tupe mchango wako hapa?
wazee wa reconciliation si tumejaa tele?
atume tu salamu tutazifikisha. ni vizuri kagundua kosa na analijutia, hiyo ni hatua kubwa sana.
kamati imeshapangwa?
 
Maty ndo kusema.......

naona JF ya zamani imetulia hapa na yanayojadiliwa hapa, kama ni dot.com haoni ndani

Hahaha, umeona ee? Code imegoma ku decipher kabisa, yanayojadiliwa ni kama lugha mpya!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom