Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Wapo watu wengi waishapata simu hasa Ikwa kui track....!!!

Huyo mwizi wako atarudisha simu, atakupa na pesa, atatoa na pesa ya Police, inategemea na Maelezo Yako Police.

Wengine huandika amepoteza
Simu ya 600,000..... Pia alipotexa milioni 2 ikiwa pamoja na hiyo simu....! Hapo gharama zako zitarudi, simu itarudi, na posho ya Askari ipo humor humo....!

Kuna jamaa yangu simu yake iliibiwa Dar akaenda kuipata Bukoba, na gharama zilirudi na faida juu.
Labda alinunua simu ya wizi lakini mwizi husika aliyeiba hawezi kukupa hiyo gharama na faida juu,
 
Mkuu usijichanganye kuwapa polisi hela waitrack, labda kama umeamua kuwapa pesa ya bure, nilipoteza simu kuanzia January mwaka huu sijapata ni kiswahili tu napigwa mpaka nmeshakata tamaa, wanazingua sana hawa mother far car.
 
Atumie watu wengine sio maaskari, police wenyewe wahusike kama tu mwizi hana maokoto nk
 
Wapo watu wengi waishapata simu hasa Ikwa kui track....!!!

Huyo mwizi wako atarudisha simu, atakupa na pesa, atatoa na pesa ya Police, inategemea na Maelezo Yako Police.

Wengine huandika amepoteza
Simu ya 600,000..... Pia alipotexa milioni 2 ikiwa pamoja na hiyo simu....! Hapo gharama zako zitarudi, simu itarudi, na posho ya Askari ipo humor humo....!

Kuna jamaa yangu simu yake iliibiwa Dar akaenda kuipata Bukoba, na gharama zilirudi na faida juu.
Hii nayo ni mbinu ya polisi ili upate matumaini utoboke kibunda.... Haya mambo ukiyasikiliza huwezi elewa ila yakikupata alafu ukachukulia ulivyoeleza utalia mara 5 kuliko ungepotezea upotevu wa hiyo simu.

Comment yako inaenda sambamba na vigogo au wenye nguvu ya kumcontral mpelelezi
 
Ukiripoti umewapa dili wanakula kotekote, wana mtrack wanampata wanamtoa hela na simu wanabaki nayo
Ilishawahi kunitokea hiyo, eti nimekabwa na hao vibaka walikuwa wamekaa na mlinzi wakainuka kutoka kwa mlinzi Kuja kunikaba. Naenda Polisi kuelezea scenario na yule mlinzi nikampiga mkwara tukaenda wote mpaka kituoni.

Mlinzi akawataja mpaka majina wale vibaka mapolisi wakataka hela ya usafiri nikawapa sh 10,000 wamfuate kibaka baada ya masaa mawili naenda kituoni eti wanataka niwape 40,000 eti sijui vibaka wamefanyaje. Nikawaambia basi inatosha bakini na hao vibaka na hiyo simu mkiipata basi chukieni tu.
 
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Umeibiwaje dukani au....polee
 
Kwa police wa bongo kawasumbue tu,
Lakin huku dubai police wana ferrari upeleke kesi ya kisimu cha laki sita ni aibu.
 
Unauliza maswali na kujijibu mwenyewe.
 
Polisi ya tz ni wapumbavu ilo ni jukumu lao kutrack wahalifu bure wakimkamata huyo muhalifu ndiyo abanwe siyo wewe uliye ibiwa uwalipe wapumbavu wakutrakie mwizi ...kazi ya polisi ni gani sasa? Tena ndiyo maana kuna tabia kuwa polisi wakimtrack mwizi na kumpata wanamalizana naye juu kwa juu na pesa yako inakuwa imeliwa ...wanachukua kwa muhalifu na wanachukua kwako.na simu upatiwi wanakuambia atujampata .
ACHA KUTULUSHA UNAMAANISHA NI KAMA MADALALI?
 
Nikupe pole tu nilipitia hilo janga mwaka jana, vikosi 4 vilitumika kuitrack huyo wa nne ndiye aliipata haikuwa rahisi hata kidogo,
Pole sana rafiki yangu hii kitu ilinikuta na Mimi pale kariakoo nilikaa kwanza chini baadae nikaendelea kulia simu imekaa wiki tu wahuni wakasepa nayo sikufanikiwa kuipata hadi Leo hii
 
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Pole sana masai dada mcheki mtaalam wetu Chief-Mkwawa
 
Pole mkuu ni aina gani ya simu?
Mie niliwahi kupoteza simu mwaka jana nilienda kituoni wale majamaa walishindwa kunitafutia hadi Leo hii Nika achana nayo
 
Polisi ya tz ni wapumbavu ilo ni jukumu lao kutrack wahalifu bure wakimkamata huyo muhalifu ndiyo abanwe siyo wewe uliye ibiwa uwalipe wapumbavu wakutrakie mwizi ...kazi ya polisi ni gani sasa? Tena ndiyo maana kuna tabia kuwa polisi wakimtrack mwizi na kumpata wanamalizana naye juu kwa juu na pesa yako inakuwa imeliwa ...wanachukua kwa muhalifu na wanachukua kwako.na simu upatiwi wanakuambia atujampata .
Hakika amwachie Mungu tu mimi ilnitokea nikariport baada ya siku kazaa mwizi nikamkamata mwenyewe kitambaa alaf akampoza askali 70k kwa gharama ya 3.6M alaf askar nikamwendea kwa wakubwa wake akaniwakia kisenge eti kwa hasira akasema twende mahakamani nikamwambia futa kesi malipo ni hapa hapa duniani tukaandikishana nimefuta kesi…mpk kesho nimebakigi na kumbukumbu za rb tu.

Yaan askari alkua upande wa mtuhumiwa kinoma yaani.
 
Back
Top Bottom