Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

Wakuu nawashauri mkienda Kulala muwe mnatoa funguo zote Milangoni. ..
 
Wakuu, naleta kwenu hili ili nipate uzoefu na namna ya kujikinga isitokee tena.
Ni hivi, nina nyumba yenye ukuta wa kozi saba kote na geti na ninaishi mimi na wife tu ndani kuna vyumba viwili havikaliwi na mtu. Sasa naamka nakuta flat sceen na remote yake haipo na mlango mkubwa uko wazi wakati kabla ya kulala niliufunga nakumbuka.

Jamaa karuka ukuta, kachana nyavu ya dirisha, kachukua funguo kafungua mlango kaingia sebleni kawasha taa kazunguka room zote manake nimekuta pamepekuliwa na mashuka yametanduliwa kama alikua anatafuta kitu isipokua chumba nilicholala mimi tu na taa kawasha cha ajabu kabeba hiyo tv na remote yake tu pamoja na raba zangu zilizokua mlangoni nje na kuacha vitu kibao vya thamani ambavyo vilikua wazi tu.

Baada ya hapo katoka na funguo kafungua geti then funguo kazitupa mlangoni. Naamka sioni tv, kuchek mlango umerudishiwa tu kuzunguka nje nakuta funguo zangu ziko nje zimetupwa ikanibidi nicheke tu na kushukuru Mungu.

Katika mazingira ya kawaida sio rahisi mimi na wife kulala hivi lazima kuna ujanja wamefanya hebu tupeane uzoefu na namna ya kujikinga na hizi mambo jamani manake ni hatari sana.

Naona hawa wezi wamekuonyeshea jinsi watakavyo kufanya. Kwangu mimi naona hiyo ni trela, watakuosha jumla. Hiyo ni kukuonyeshea kuwa huna kinga. Na huenda ni watu wako wa karibu wanajaribu kukumonitor. Pole inatisha
 
Inatakiwa Unapolala HAKIKISHA unaweka maji yaliyo wazi aidha kwenye dish au kibeseni! itakusaidia coz dawa wanazotumia kukupiga nusu kaputi huwa zinavutwa kwenye maji mithili ya sumaku.... NOTE THAT!
EXPERIMENT. napenda majaribio. polisi jamii wangekuwa wanaelimisha watu kupunguza wiz au hawajui kitu hii.
PIA smart phone yaweza kuwa mtego mzuri. ukisajiri security namba zake. akikuibia na hiyo ikibeba UNAWEZA FANYA TRACKING ya simu yako uikishilikisha polisi. kabla hajauza atataka kuweka line yake nk. mambo yote yatarekodiwa. kwa simu card yake jina lake litajulikana. hata akiamua kuiuza sim card alioweka jina lake yawezekana kufuatilia. eee... nisimwage mchele kwenye kuku wengi mana humu JF pia wezi wapitia nyuzi hizi. SHERIA YA MTANDAO kidogo hapa yaweza kuwa na faida. Mana polisi watakuwa na haki ya kufuatilia nyendo za huyo mwizi. Kama wakitekeleza kazi yao vizuri MBONA MASMAT PHONE HATA UKIDONDOSHA UTAIPATA
 
ha ha ha umenichekesha mpaka basi, lakini hawa mbwa wa chini kwa video sijui walikula msuba

https://www.youtube.com/watch?v=48wgBS8p4uM

Pole sana. Weka komeo pia funguo usitoe kwenye Kitasa pia ipinde isiwe 90 degree kwa kuwa itakuwa rahisi kuisukuma kwa kutumia funguo nyingine. Pia kazi ya kufunga milango usi delegate kwa Wife uifanye mwenyewe kujiridhisha. Mbwa ni mzuri ila siku hizi wezi wanajipaka mafuta ya Chatu na mbwa akisikia harufu hujikunyata kama kuku alielowana.
 
Kabla ya kulala hakikisha ndoo.moja ya.maji.inakuwa wazi , maana haya wezi kuna dawa huwa wanapulizia utalala ucngizi ambao hujawahi.kulala maji.yanavuta harufu yote ya hiyo.dawa inakosa nguvu so unakuwa salama kabsa pole an
 
Kabla ya kulala hakikisha ndoo.moja ya.maji.inakuwa wazi , maana haya wezi kuna dawa huwa wanapulizia utalala ucngizi ambao hujawahi.kulala maji.yanavuta harufu yote ya hiyo.dawa inakosa nguvu so unakuwa salama kabsa pole an

Sawa mtaalam wamekupata vema
 
Kabla ya kulala hakikisha ndoo.moja ya.maji.inakuwa wazi , maana haya wezi kuna dawa huwa wanapulizia utalala ucngizi ambao hujawahi.kulala maji.yanavuta harufu yote ya hiyo.dawa inakosa nguvu so unakuwa salama kabsa pole an

Mkuu kuna watu wakilala unawaiba mpaka wao tena bila hata kuwapulizia dawa !
 
Hawakuvunja duka ? Basi wastaarabu maana walichukua wanachohitaji tu. Si unajua ligi ya uingereza itaanza si muda mrefu.

Nina uhakika kama hawakugusa dukani ni jamaa zako hapo mtaani
 
Khaa!! Mbona mwizi wako mnashare bed. Mtafute jack bauer amuinterogate my wife wako mbona vitu utavipata fasta tu. Acha mkono wa birika bana. Uwe unamuachia pocket money ya kutosha kuepuka mambo kama haya
 
Sasa ukuta wa kozi saba si kimo hata cha mtoto tu kuruka tu?

halafu Tanzania hii dirisha la nyavu bila nondo?

Mkisema uongo basi japo ulingane na ukweli kidogo.
 
Mtafute mtu anaitwa Mamakibunju humu anauza CCTV Camera.
Unajua wezi wengi wanaangalia udhaifu wa Nyumba yako.Na huyo anaijua nyumba yako vizuri.

Jiji limekuwa silo siku hizi.Vibaka na wezi wa kawaida ukiweka Cameras au ukiwa na Mbwa wa Kisasa basi utasikia tu wenzio ndio wanalia kwa kuibiwa.

Suluhisho ni door alarms tu...
 
Huyo hakuwa mwizi professional ila kibaka tu na njaa zake, mwizi stadi hawezi iba flat screen tu na raba.
 
Na inashauriwa kulala na maji kwenye ndo wazi ili wakipuliza hyo dawa maji yana neutralize nguvu ya dawa na haiwi na madhara.
Pia huyu mleta mada afuge tu mbwa wanasaidia sana hasa kwa hawa wezi wadogo wadogo. Mbwa kwetu wamesaidia sana hata akibweka sana ni alert kuwa kuna jambo la hatari.
Mleta mada mpole huyo mwizi ni MTU anayewafahamu in and out na anajua kila kitu cha hyo nyumba. Cha kushukuru ni wote mumekua salama.
Diva Beyonce huyo KE (mbwa jike) why anacost sana kuliko ME?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom