Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,300
Ameacha nini cha thamani.
Unataka urudi kuvimalizia.??
Ameacha nini cha thamani.
Ina maana mlango wako hakuna zile koleo za kufunga kwa ndani.Kama hakuna tafadhali weke chini na juu yamkini zingekuwepo mwizi angefungua kitasa lakini angekwama kufungua mlango.
Halafu ndugu yangu kama unaishi wewe na familia tu kwanini usifuge mbwa wana msaada mkubwa sana kama wangekuwepo ingebidi wezi wafanye kazi ya ziada.
Sasa angeiba tv bila remote angeitumiaje bana
Mtafute mtu anaitwa Mamakibunju humu anauza CCTV Camera.nilikua ok boss na wala sikulala nikiwa nimelewa ndo mana mpaka sasa siamini nabaki kucheka tu. Milango nilifunga mimi ndo mana kachana nyavu na kuchukua funguo. Nadhani alipuliza dawa ya usingizi asingejiamini hivyo mpaka kuwasha taa si bure
Ameacha nini cha thamani.
Kijam..mbiooo na roho yake teh we mwita vipi!?
nilikua ok boss na wala sikulala nikiwa nimelewa ndo mana mpaka sasa siamini nabaki kucheka tu. Milango nilifunga mimi ndo mana kachana nyavu na kuchukua funguo. Nadhani alipuliza dawa ya usingizi asingejiamini hivyo mpaka kuwasha taa si bure
ulipuliziwa dawa ya usingizi next time ukilala hakikisha umeweka ndoo ya maji ikiwa wazi ,ikipuliziwa inanyonywa na maji ya ndoo
huwezi amini mkuu yani nimeamka ikanibidi nicheke tu hasa baada ya kujiridhisha kuwa vitu viko salama. Seems alikua anaiotea tv mda mrefu sana lazma ananijua sio bure
Dawa hiyo ya usingizi inaitwaje?
inapatikana wapi?
mbona kuna watu hawapi usingizi na hawaambiwi lolote kuhusu hiyo dawa?
nani aliita ni dawa ya usingizi?
Mkuu humu JF siyo wote wanajoke! Wengine ni watu wa matusi mtindo mmoja, sijui wakoje.(yamenikuta hayo!)Step by Step,acha kupanic mkuu.
Humu JF humu kuna kipindi Jokes kama hizi ambazo ni serious Jokes kuchekeshana .
Hii Stye humu JF huwa inaitwa Raha ndani ya Shida
Yaani wewe umeibiwa,badala ya ushauri watu wanajipa raha kwa jokeskwanza,then we vumilia ushauri unakuja.
Acha kwanza watu waburudike