Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

pole jombaa hawa wezi ndo maana ukikuta wanachomwa moto unatakiwa kuongeza nguvu.
 
Mambo ya bongo watu wanmadawa ya kulevya ya spray wanakupulizia kupitia dirishani baada ya dk kumi hivi waingia kama kwao vile huwezi hata kushtuka unakuwa kama umezimia hivi

chakufanya

ukilala hakikisha una chombo kilicho na maji na kiwe wazi kama jagi hivi pana kiasi

maji huweza kusharabu sumu hiyo na kuipunguza kwa kiasi kikubwa sana kiasi kwamba wewe na waliomo ndani si rahisi kusinzirishwa kwa sumu hiyo,

swali zaidi kama unalo
 
Dawa hiyo ya usingizi inaitwaje?
inapatikana wapi?
mbona kuna watu hawapi usingizi na hawaambiwi lolote kuhusu hiyo dawa?
nani aliita ni dawa ya usingizi?

ni majini tu hayo
 
Mkuu pole sana...inshort inahitaji ujipange upya katika safu yako ya Security hapo Home kwako tayari weakness imeshaonekana..Kama utaweza jaribu kutumia ulinzi wa mbwa ni Salama na hauna rushwa wala hongo....Mimi nina German shepherd wawili tangu niwe nao sijawahi pata tatizo lolote iwe mchana hata usiku.
Ni walinzi wazuri sana..useme bei yao, mafunzo na msosi ndo inaweza kua shida kidogo ila ni afadhari kuliko kuweka masai.
View attachment 266122

kweli mkuu Mbwa mwenye mafunzo ndio mpango mzima kwa vibaka kama hawa.

Wamasai siku hizi hawa maana kabisaa,wanajifanya watu wa kupiga dili vibaya.
Bora Paka kuliko kuweka Mmasai kama mlinzi

Hembu nipe cost ya Shepherd hapo na gharama za kila siku kuwahudumia
 
Jamaa wanatumia dawa mkuu,wanakuja dirishani kwako wanapuliza,utalala fofofo huku wao wanafanya Yao..
 
Jamaa wanatumia dawa mkuu,wanakuja dirishani kwako wanapuliza,utalala fofofo huku wao wanafanya Yao..

Na inashauriwa kulala na maji kwenye ndo wazi ili wakipuliza hyo dawa maji yana neutralize nguvu ya dawa na haiwi na madhara.
Pia huyu mleta mada afuge tu mbwa wanasaidia sana hasa kwa hawa wezi wadogo wadogo. Mbwa kwetu wamesaidia sana hata akibweka sana ni alert kuwa kuna jambo la hatari.
Mleta mada mpole huyo mwizi ni MTU anayewafahamu in and out na anajua kila kitu cha hyo nyumba. Cha kushukuru ni wote mumekua salama.
 
kweli mkuu Mbwa mwenye mafunzo ndio mpango mzima kwa vibaka kama hawa.

Wamasai siku hizi hawa maana kabisaa,wanajifanya watu wa kupiga dili vibaya.
Bora Paka kuliko kuweka Mmasai kama mlinzi

Hembu nipe cost ya Shepherd hapo na gharama za kila siku kuwahudumia

Yani mbwa ni mlinzi mzuri kuliko hata mmasai mana hawaaminiki wanakuletea majambazi kabisa.
Mbwa kwetu amekua mlinzi bora hasa ukipata aina ya Germany shephered.
Bei ya hao mbwa inategemea kuanzia lake Tatu kwa mdogo wa kiume wa kike laki sita.
Hawa mbwa wana vyakula vyao unanunua kwenye maduka. Bora mbwa kuliko hawa walinzi uchwara.
 
Step by Step,acha kupanic mkuu.
Humu JF humu kuna kipindi Jokes kama hizi ambazo ni serious Jokes kuchekeshana .
Hii Stye humu JF huwa inaitwa Raha ndani ya Shida
Yaani wewe umeibiwa,badala ya ushauri watu wanajipa raha kwa jokeskwanza,then we vumilia ushauri unakuja.
Acha kwanza watu waburudike

haina noma mwana nimekusoma ila dah vijana wanamaudhi sana utazani sijui wanaishi mji gani. Mi nakuaga makini sana ndo mana mpaka sasa najiuliza imekuaje nikalala vile
 
Kwa hiyo kuanzia leo tukitembelea kwako tukakuta tv ya chogo tuelewe flat iliibiwa au sio.
 
Mkuu pole sana...inshort inahitaji ujipange upya katika safu yako ya Security hapo Home kwako tayari weakness imeshaonekana..Kama utaweza jaribu kutumia ulinzi wa mbwa ni Salama na hauna rushwa wala hongo....Mimi nina German shepherd wawili tangu niwe nao sijawahi pata tatizo lolote iwe mchana hata usiku.
Ni walinzi wazuri sana..useme bei yao, mafunzo na msosi ndo inaweza kua shida kidogo ila ni afadhari kuliko kuweka masai.
View attachment 266122

hebu nambie hawa mbwa garama yake mpaka wanakua full trained sh ngp
 
Sema ulisikia ukaogopa;huna maana bora ungekaa kimya;Yaani nyumba yote msisikie,au walikutuliza ukawa mpole;sasa unatueleza tufanyeje?NENDA POLISI

san nisikie halafu nisitoke then nije kulalamika humu si itakua kama najitekenya na kucheka mwenyewe kaka? Polisi nishaenda ila nimeona vyema ku share na wadau ili tupate kujifunza sote. Sometimes kujifanya una akili sana ni tatizo pia
 
Inatakiwa Unapolala HAKIKISHA unaweka maji yaliyo wazi aidha kwenye dish au kibeseni! itakusaidia coz dawa wanazotumia kukupiga nusu kaputi huwa zinavutwa kwenye maji mithili ya sumaku.... NOTE THAT!
 
Pole sana. Weka komeo pia funguo usitoe kwenye Kitasa pia ipinde isiwe 90 degree kwa kuwa itakuwa rahisi kuisukuma kwa kutumia funguo nyingine. Pia kazi ya kufunga milango usi delegate kwa Wife uifanye mwenyewe kujiridhisha. Mbwa ni mzuri ila siku hizi wezi wanajipaka mafuta ya Chatu na mbwa akisikia harufu hujikunyata kama kuku alielowana.

Aisee... Mafuta ya chatu!
 
Hiyo style ya u wizi wa kuchana madirisha ilianzia na kushamiri sana kino msisiri
 
Pole sana. Weka komeo pia funguo usitoe kwenye Kitasa pia ipinde isiwe 90 degree kwa kuwa itakuwa rahisi kuisukuma kwa kutumia funguo nyingine. Pia kazi ya kufunga milango usi delegate kwa Wife uifanye mwenyewe kujiridhisha. Mbwa ni mzuri ila siku hizi wezi wanajipaka mafuta ya Chatu na mbwa akisikia harufu hujikunyata kama kuku alielowana.

Mafuta ya chatu yanapatikana wapi mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom