Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

ulipuliziwa dawa ya usingizi next time ukilala hakikisha umeweka ndoo ya maji ikiwa wazi ,ikipuliziwa inanyonywa na maji ya ndoo
hapa ndo na mimi nilitaka kumpa ushauri huu,hata mimi walinifanyia hivyo ntaweka picha baadae walitoa dirisha na kukata neti wakaiba simu na kuniwekea laini nje dirishani, kwa hiyo najua unaongea ukweli mtupu hivi vitu vipo sana jamani,Cha msingi weka beseni la maji dirishani,akipuliza dawa inaenda yote kwenye maji,hivyo huwezi kuibiwa tena..
 
Diva Beyonce huyo KE (mbwa jike) why anacost sana kuliko ME?
Wee nawe kwani siunaufahamu ule usemi usemao unapomsomesha mwanaume unamuelimisha mtu mmoja tu ila ukisomesha mwanamke ni sawa na kuielimisha jamii nzima......Hii ina-apply hata kwa viumbe vingine kwamba viumbe wa kike wanakuwa na thamani zaidi kuliko viumbe madume..!!
 
Last edited by a moderator:
Mnalalaje wandungu... Mwanaume inabidi uwe na usingizi wa mashaka, unalala utafikiri unalindwa bwana... Wakirudi wana kufanya kitu mbaya.
 
huyu atakuwa ndogo wako wa mwisho anakutania, anasema braza kwa nini unapenda kukaa peke yako na mavyumba yote hayo? siku nyingine uwe unajenga nyumba ya chumba kimoja cha kwako sebule , jiko choo na bafu, unaacha tofari za matoleo, mkeo akijifungua mtoto akafikisha miaka mitano, unaongeza chumba, kama wote midume unaacha kujenga kama ukiongezea jike ongeza kingine awe ankaa na beki tatu. Usiweke chumba cha wageni, wageni wakija wakaa sebuleni wawe walinzi.

Umenifanya Nicheke kama namwangalia majuto
 
Tukubalinae pia,wezi wengi wa style hii ni vijana wa mtaani,yaani mitaa ambayo tukio linafanyika.

Mie Ushauri wangu ni ule ule.Kwamba wadokozi hawa wanaangalia nyumba dhaifu kwenye ulinzi.

Kuna Jamaa Mabibo,yeye alikuwa na rafiki yake anafanya kazi kwa wachina,basi kulikuwa na ma CCTV Camera mabovu kabisaa.
Basi aliyategesha kiuongo,basi huwezi amini Vibaka woote walihama njia.Yaani ni waoga balaa.Maana wanajua kabisaa kwamba Mshkaji atatujua tuu.Maana anajua ukipata picha yake kwenye Camera basi unatafuta muhuni mmja tu wa kitaa basi lazima atakutajia Kibaka wako alipo.

Au Pandisha ukuta,weka Mbwa.

Maana Vibaka nao huangalia zoezi la muda mfupi,kama kazi ni ndefu na wao ni waoga,wanaroho jamani.
Ukiona amekamatwa ndio utajua kwamba kutoka roho ni hali tata sana,kama unamoyo mwepesi utamuachia,ila yeye akikunasa kwenye purukushani lazima akuuwe ili ajinusuru.

-Tatizo jingine ni Ubishi wa watu wa Mtaani,unaweza kukuta kuna watu wanataka kuweka Polisi shirikishi kwa kulipia kila familia kwa mwezi kuna watu wabishi balaa.
Huku Zanzibar yale maeneo yoote tata ulinzi huu upo basi adabu mtu,maana hata mtu akipita na gari muda wa usiku mwingi lazima wakusimamishe.Hadi Raha yaani.

-Jingine ni kuangalia watu ndani ya nyumba mnaishije,wizi huu mwingine ni wa kukomoana kwa wapangaji wao kwao.
Yapo Mazingira ya kuwekewa dawa lakini lazima tukubali kwamba yapo mazingira ya watu kuuzana wao kwa wao kwa sababu binafsi.Au pia kuwa na wapangaji ambao kazi zao maalum hazifahamiki au za kuungaunga.
Unaweza kukuta akajifanya yeye ndio kaibiwa vitu vyoote,ili msistuke,kumbe alipanga kwamba yeye wachukue vitu vingi zaidi ili kwenu apige vile vya thamani,anakuwa kama amehamisha tu.
Hizi nyumba nazo tuziangalie saana kwa kina kabla ya kupanga.
 
Naona wengi inawatokea wakilewa ila pia tukumbuke wale iliyowatokea wakiwa wamepuliziwa dawa.

Hiyo dawa mimi ndio naiogopa maana inatisha as unaweza tendwa acha vya mwilini.

Mshukuru Mungu hawakuwadhuru.
 
Tukubalinae pia,wezi wengi wa style hii ni vijana wa mtaani,yaani mitaa ambayo tukio linafanyika.

Mie Ushauri wangu ni ule ule.Kwamba wadokozi hawa wanaangalia nyumba dhaifu kwenye ulinzi.

Kuna Jamaa Mabibo,yeye alikuwa na rafiki yake anafanya kazi kwa wachina,basi kulikuwa na ma CCTV Camera mabovu kabisaa.
Basi aliyategesha kiuongo,basi huwezi amini Vibaka woote walihama njia.Yaani ni waoga balaa.Maana wanajua kabisaa kwamba Mshkaji atatujua tuu.Maana anajua ukipata picha yake kwenye Camera basi unatafuta muhuni mmja tu wa kitaa basi lazima atakutajia Kibaka wako alipo.

Au Pandisha ukuta,weka Mbwa.

Maana Vibaka nao huangalia zoezi la muda mfupi,kama kazi ni ndefu na wao ni waoga,wanaroho jamani.
Ukiona amekamatwa ndio utajua kwamba kutoka roho ni hali tata sana,kama unamoyo mwepesi utamuachia,ila yeye akikunasa kwenye purukushani lazima akuuwe ili ajinusuru.

-Tatizo jingine ni Ubishi wa watu wa Mtaani,unaweza kukuta kuna watu wanataka kuweka Polisi shirikishi kwa kulipia kila familia kwa mwezi kuna watu wabishi balaa.
Huku Zanzibar yale maeneo yoote tata ulinzi huu upo basi adabu mtu,maana hata mtu akipita na gari muda wa usiku mwingi lazima wakusimamishe.Hadi Raha yaani.

-Jingine ni kuangalia watu ndani ya nyumba mnaishije,wizi huu mwingine ni wa kukomoana kwa wapangaji wao kwao.
Yapo Mazingira ya kuwekewa dawa lakini lazima tukubali kwamba yapo mazingira ya watu kuuzana wao kwa wao kwa sababu binafsi.Au pia kuwa na wapangaji ambao kazi zao maalum hazifahamiki au za kuungaunga.
Unaweza kukuta akajifanya yeye ndio kaibiwa vitu vyoote,ili msistuke,kumbe alipanga kwamba yeye wachukue vitu vingi zaidi ili kwenu apige vile vya thamani,anakuwa kama amehamisha tu.
Hizi nyumba nazo tuziangalie saana kwa kina kabla ya kupanga.

Umeongea point ila hapo kwenye kufuga mbwa wakati mimi najua wewe ni sheikh mtarajiwa. Utafugaje mbwa sheikh mzima ??
 
Mnalalaje wandungu... Mwanaume inabidi uwe na usingizi wa mashaka, unalala utafikiri unalindwa bwana... Wakirudi wana kufanya kitu mbaya.

hongera wewe ambaye hata ukipuliziwa dawa haiingii we always uko macho safi sana comando
 
Mdau pole sana,hiyo IPO na huwa wanapulizaga dawa ya usingizini lkn lazma ulilala taa ndani wazi ndio maana akaona funguo... Pole ndio maisha
 
Umeongea point ila hapo kwenye kufuga mbwa wakati mimi najua wewe ni sheikh mtarajiwa. Utafugaje mbwa sheikh mzima ??
Hahaha,dini hii inabidi uielewe undani wake sana,Mbwa wanautaratibu wake wa kufugwa kiulinzi na sio tatizo.
Na hii inategemea nyumba yako umeijenga vipi.Ila hakuna tatizo kufuga mbwa kwa Muislam ila muhim kufuata taratibu za namna ya kumfuga tu kama mlinzi
 
sasa kama we pekee ndion Mwenye Flat Screen mtaani kwanini wasiifuate!, usikute pia we peke yako ndio una ukuta hapo mtaani kwenu
 
sure mwana maeneo haya mi ndo nina ukuta af wananiona tajiri kweli wakati mi mwenyewe naunga unga tu
 
sasa kama we pekee ndion Mwenye Flat Screen mtaani kwanini wasiifuate!, usikute pia we peke yako ndio una ukuta hapo mtaani kwenu
 
watu wengi wakifunga mlango wenye kitasa wanachomoa funguo! kumbuka design y kitasa ni kwamba funga mlango zungusha funguo ktk engo ambayo ukivuta funguo haitoki! kasha iache hapo mlangoni. ukiitoa kibaka hua anakuja kufanya tathmini ya mapungufu mlangoni akiiona haipo kwa ndani anacheki mezani n.k. very simple. lakini mbali na kitasa kumbuka kuweka komeo kuongeza ulinzi zamani uswazi ulikua ukifunga mlango unachomeka glasi ya chuma kwenye mkono wa ndani wa kitasa akinyonga tu kwa nje glasi inadondoka hahaha anatoka mbio.

ha ha ha ha ha ha hii kiboko!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom