Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

Step by step

Pole mkuu. Iliwahi kunitokea hiyo. Niliumia sana hisia.
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya bongo watu wanmadawa ya kulevya ya spray wanakupulizia kupitia dirishani baada ya dk kumi hivi waingia kama kwao vile huwezi hata kushtuka unakuwa kama umezimia hivi

chakufanya

ukilala hakikisha una chombo kilicho na maji na kiwe wazi kama jagi hivi pana kiasi

maji huweza kusharabu sumu hiyo na kuipunguza kwa kiasi kikubwa sana kiasi kwamba wewe na waliomo ndani si rahisi kusinzirishwa kwa sumu hiyo,

swali zaidi kama unalo

atakuwa ameelewa
 
Mambo ya bongo watu wanmadawa ya kulevya ya spray wanakupulizia kupitia dirishani baada ya dk kumi hivi waingia kama kwao vile huwezi hata kushtuka unakuwa kama umezimia hivi

chakufanya

ukilala hakikisha una chombo kilicho na maji na kiwe wazi kama jagi hivi pana kiasi

maji huweza kusharabu sumu hiyo na kuipunguza kwa kiasi kikubwa sana kiasi kwamba wewe na waliomo ndani si rahisi kusinzirishwa kwa sumu hiyo,

swali zaidi kama unalo

maji hayo ni lazma yakae dirishani au angle yeyote chumbani
 
utakua umepuliziwa dawa ya usingiz kwa dirishani
pole....
 
Kwa hiyo kuanzia leo tukitembelea kwako tukakuta tv ya chogo tuelewe flat iliibiwa au sio.

ulijuaje mwana?nlikua nayo ya chogo ndo nimeiweka sebleni kipindi navuta nguvu kutafuta nch 32 nyingine
 
Huyo alikupulizia dawa ya ucngzi ndo ukalala kama kobe.
 
KakaJambazi ndiyo anapiga madili ya kiboya kama haya anaiba tv m pm atakurudishia tv yako! wakati wenzako tunaenda bank kama tunaenda geto!
 
Last edited by a moderator:
kweli mkuu Mbwa mwenye mafunzo ndio mpango mzima kwa vibaka kama hawa.

Wamasai siku hizi hawa maana kabisaa,wanajifanya watu wa kupiga dili vibaya.
Bora Paka kuliko kuweka Mmasai kama mlinzi

Hembu nipe cost ya Shepherd hapo na gharama za kila siku kuwahudumia

Mkuu German Shepherd mmoja akiwa na miezi kama 3 hivi unaweza mnunua kuanzia sh 300,000 mpaka 600,000 na ni vizuri ununue mdogo ili apate mafunzo unayotaka wewe, pili mafunzo kwa trainer inaweza cost sh 200,000 au zaidi kutegemeana na aina ya mafunzo unayotaka apewe, tatu Msosi wao mfano mimi huwa nachukua mahindi,dagaa, na calcium au damu kidogo nasaga basi kijana anawapikia wanakula wananenepa balaa.
 
huyu atakuwa ndogo wako wa mwisho anakutania, anasema braza kwa nini unapenda kukaa peke yako na mavyumba yote hayo? siku nyingine uwe unajenga nyumba ya chumba kimoja cha kwako sebule , jiko choo na bafu, unaacha tofari za matoleo, mkeo akijifungua mtoto akafikisha miaka mitano, unaongeza chumba, kama wote midume unaacha kujenga kama ukiongezea jike ongeza kingine awe ankaa na beki tatu. Usiweke chumba cha wageni, wageni wakija wakaa sebuleni wawe walinzi.
 
Mkuu Pole sana kwa tukio hulo.Na mumshukuru saana mungu kwamba mpo wazima.

Hembu tuambie Weekend yako uliianza vipi na kuimalizia jana kwa style ipi?

Maana kuna Mshkaji wangu yeye alilala nyumba yoote milango wazi,cha ajabu gari aliiacha Bar na yeye akakodi Taxi.
Cha kushangaza kuamka asubuhi akaanza kuitafuta gari na kusema imeibiwa,akaenda vituo vyoote vya Polisi kusema kwamba Gari yake Imeibiwa na nyumba imefunguliwa kwa Master Key.

Sasa alitokea jamaa mmoja mwenzie akamuambia mkuu haujavunjiwa nyumba wala haijafunguliwa,utakuwa ulilala milango wazo,jamaa alimtukana balaa,na kumuambia oyaaa mie ninaakili zangi timamu,siwezi kulala mlango wazi.
Basi jamaa akawa mstaarabu,na kumuambia unajua kwamba gari yajo uliicha Bar?na uzuri Bar yenyewe kwa mlio Zanzibar ni Gymkhana Bar ambapo ulinzi upo mzuri sana.Ikabidi jamaa aliganda akavuta kumbukumbu kwa aibu akasepa wiki nzima mtaani hayupo.

Sasa nakuuliza kujua je weekend yako iliishaje mkuu na mlikuwa nanani siku hiyo

Wewe ni nani mbona wamwandika mzee wangu uksongeza na chumvi kibao
 
Mkuu pole sana...inshort inahitaji ujipange upya katika safu yako ya Security hapo Home kwako tayari weakness imeshaonekana..Kama utaweza jaribu kutumia ulinzi wa mbwa ni Salama na hauna rushwa wala hongo....Mimi nina German shepherd wawili tangu niwe nao sijawahi pata tatizo lolote iwe mchana hata usiku.
Ni walinzi wazuri sana..useme bei yao, mafunzo na msosi ndo inaweza kua shida kidogo ila ni afadhari kuliko kuweka masai.
View attachment 266122

we imekugharimu sh.ngapi dog na mafunzo?
 
Mtafute mtu anaitwa Mamakibunju humu anauza CCTV Camera.
Unajua wezi wengi wanaangalia udhaifu wa Nyumba yako.Na huyo anaijua nyumba yako vizuri.

Jiji limekuwa silo siku hizi.Vibaka na wezi wa kawaida ukiweka Cameras au ukiwa na Mbwa wa Kisasa basi utasikia tu wenzio ndio wanalia kwa kuibiwa.

mamakibunju nataka hiyo cctv camera niifunge kwenye a/c ya jf!
 
Last edited by a moderator:
kwenye kochi kulikua na ipad nazani hakuiona, kwenye meza ya tv kulikua na xternal hard disc imechomekwa kwenye tv kaichomoa na kuiacha, jikoni kuna ma brenda na vitu kibao tu na hizo room alizoingia kuna acccesories nyingi tu ila hajagusa na kote kaingia manake aliingia na viatu nimeona michanga ya miguu yake

Dah! Amekuachia mchanga? Kazi kwisha hiyo, zoa mchanga peleka wa wataalam.
 
Dawa hiyo ya usingizi inaitwaje?
inapatikana wapi?
mbona kuna watu hawapi usingizi na hawaambiwi lolote kuhusu hiyo dawa?
nani aliita ni dawa ya usingizi?
TB ni kama chloroform sio dawa ya usingizi perse bali ni dawa ambayo inakufanya unapoteza fahamu kwa muda so haiwezi kutumika kwa watu wenye tatizo la usingizi maana sio kwamba wao wanataka kupoteza fahamu bali wanahitaji usingizi. Na zaidi ukizidisha ni byebye.
 
Usisikie kabisa hio kitu haina baunsa. Niliwahi kutoa machoZi. Niliwaza mammbo mengi sana asubuhi ya siku hio. Niliamka wamechukua music system yaani ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom