HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,086
- 3,242
Ramli au uzoefu MkuuTBC lazima wakatishe matangazo ya mpira.
Ramli au uzoefu MkuuTBC lazima wakatishe matangazo ya mpira.
Chagua kiwanje tukaangalie basi mpira ila kwa kesho, alafu uwe serious uache undava wako 😂😂
UzoefuRamli au uzoefu Mkuu
Kwani unaona nachekesha hapa? Jmos twende serena kuna old school..Chagua kiwanje tukaangalie basi mpira ila kwa kesho, alafu uwe serious uache undava wako 😂😂
😁😁 imeisha hiyoooKwani unaona nachekesha hapa? Jmos twende serena kuna old school..
hadi kombe la dunia linaisha, na ukipofu juu kwa watumia TBCUwe na miwani karibu 😹
Mpira umeanza acha kelele mbwaa!
Kwa nilipo hakuna mkuuMkuu huko hakuna vibanda umiza niruke na fursa
😂😂😂😂Tbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.
Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
TIBISI WAN bhana! 😂.Mwambie miaka yote TBC Inarusha Kombe la Dunia.
Tunaijua vizuri TBC.
Wazee: kumradhi watazamaji tujiunge na makala maalumu ya Mradi wa bonde la Mpunga
Ikitokea press Lazima wakatishe chap, ww subir tuuRamli au uzoefu Mkuu
Oya huu ni ugomvi mwingineHuko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
Huu ni ugomvi sasa mradi wa bonde la mpunga na mpira wapi na wapi?Wazee: kumradhi watazamaji tujiunge na makala maalumu ya Mradi wa bonde la Mpunga
Mechi 34 kati ya 104 ni chache sanaDODOMA: TANZANIA Broadcasting Corporation (TBC) will air 34 matches from the 2026 FIFA World Cup after securing official rights to broadcast selected fixtures of the tournament, giving Tanzanians free access to some of football’s biggest matches. The state broadcaster announced in Dodoma yesterday that the package includes the opening match, both semi-finals, the thirdplace play-off and the final.