Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

Tbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.

Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
wana mchaneli wao mwingine unaitwa TBC2, kama vipi warushie mechi zote huko kuliko kuchagua mechi za kurusha na kukatakata mchezo japo mechi zitachezwa usiku hakuna live za serikali muda huo
 
Hamjambo

Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote

Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea

Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu

Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki

Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua

TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
Afisa masoko TBC 😁
 
Siuje tu huku Arusha kuangalia live tbc ambayo hata sauti haisikiki
 
Hamjambo

Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote

Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea

Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu

Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki

Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua

TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
Nakumbuka mwaka 2010 fainali mechi ishaanza wao wananesha live mkutano wa CCM
 
Hamjambo

Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote

Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea

Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu

Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki

Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua

TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
Siwezi angalia mpira tbc... Watanikera mara paaapu utaskia...
1. Tuuungane na wenzetu wakiwa huko chamwino kwenye uapishaji blaaablaaa
2. Mtuwie radhi, tuungane na wenzetu unguja wakiingazia uchumii wa bluu
3. Tuungane waziri makonda huko arusha
3.
 
Hamjambo

Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote

Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea

Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu

Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki

Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua

TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
Hiyo ni ofa kutoka kwa mama.
 
Nitumie kwenye bolt!
😁😁😁
Screenshot_20260611-202835.png
 
Back
Top Bottom