Acha tu messi anaonekana kama anko nzala 😹hadi kombe la dunia linaisha, na ukipofu juu kwa watumia TBC
Tatizo picha zao hazina quality
Vipi unaendelea kufarijika?Hamjambo
Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote
Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea
Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu
Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki
Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua
TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
Hongera mjomba. Naona unaifirahia TBC ukweli na uhakika. Yaani bure kabisa. Hujalipia king'amuzi kama sisi wenzako.Hamjambo
Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote
Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea
Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu
Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki
Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua
TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
Umesema kweli ubora wa picha ni hovyo kabisaTbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.
Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
TBC ilishajifia siku nyingiUmesema kweli ubora wa picha ni hovyo kabisa