Huenda Kombe la Dunia 2026 likabaki Marekani

Huenda Kombe la Dunia 2026 likabaki Marekani

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
46,365
Reaction score
37,937
Wana timu nzuri mno, haizungumzwi wala kufuatiliwa sana, lakini ina uwezo na uwezekano mkubwa sana wa kutwaa kombe hilo la dunia katika mpira wa miguu duniani.

Ni wazi Rais Donald J. Trump atapendelea zaidi kukabidhi kombe hilo la dunia kwa timu ya mpira wa miguu ya taifa lake na si vinginevyo.

Safari za timu kubwa na tishio kwa soka duniani, zimekua tia maji tia maji mno, mpaka imefikia hatua ya kuanza kuibuka na kuvuma kwa minong'ono ya chini kwa chini kwamba Marekani ina mkono wake usio onekana kwa sasa kwenye, kuzipangua na kuzipunguza timu vigogo wa soka duniani na kubakiza zile ambazo ina zimudu.

But kwa maoni na mtazamo wangu, naona kombe la dunia 2026 likisalia kwa moja ya waandanaji wa michuano hiyo ambao ni Marekani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
1000170151.png
 
Daah mzala jikite na siasa tu huku hakuna bla blah USA inayotoana jasho na SA ichukue kombe aisee si utani huo..
 
Daah mzala jikite na siasa tu huku hakuna bla blah USA inayotoana jasho na SA ichukue kombe aisee si utani huo..
Marekani kushinda kumbe la dunia itawashangaza wengi sana gentleman.

Marekani haitakubali kushindwa kivita na Iran, halafu tena ikaja kushindwa kombe la dunia. Sidhani kama itakubali hilo kutokea 🐒
 
Back
Top Bottom