Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

Hamjambo

Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote

Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea

Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu

Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki

Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua

TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
Sasa mkuu huoni kama kombe la dunia limeshuka thamani maana kila mtu atajiamria mambo
 
Hamjambo

Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote

Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea

Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu

Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki

Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua

TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
kumradhi mpenzi mtazamaji wetu kwa sasa tujiunge na wenzetu walioko kule katavi ambapo serikali imewapata wawekezaji na wanunuzi wa asali baada ya kuitembelea shamba la nyuki ya waziri mkuu mstaafu Mizengwe Pinda
 
Hamjambo

Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote

Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea

Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu

Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki

Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua

TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
IMG_0413.jpeg
 
Afcon ya Ivory coast walitisha sana full hd mech zote walionesha ya morocco wakapuyanga mech chache TU na quality mbovu ya picha

Hii ya WEDIKAPU sijui wataonesha ngapi?
 
Back
Top Bottom