Nimefall kwa mwanadada maarufu wa jf

Nimefall kwa mwanadada maarufu wa jf

Nimetokea kukupenda. Najua inastaajabisha lakini ndivyo hivyo, ndivyo imetokea.
Be specific kijana
umependa hizo nguo nyeupe? umbo? jina yna2 au maandiko yake humuu??
BTW utampendaje mtu ambae huji abc kumuhusu? She is a smoke in darkness, she is not exist..
 
Serious ni wapi nimpeleke mwenyewe
au ukisema serious unamaanisha nini??
Da vinci, nafikiri majaribio yako ya kisayansi yanakuathiri. In short mi ndo Mc nasimamia show hapa. Kwa hiyo, boya boya kaeni pembeni.
 
Back
Top Bottom