Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,092
- 15,516
Mungu wangu. Yna2 huwezi amini nilikuwa nakufikiria.Mzigua huyo
Siku ile nilikuomba angalau nipate ukamili wa avatar yako lakini maombi hayakuzaa matunda. Sijui nilikukwaza? Kama nilikukwaza samahani.
Vipi lakini, upo salama?