Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,231
Angekuwa " wale " wala asingesema..angeka kimyaaa kama wenzie!Jiulize mwizi akijaribu kukuibia halafu ukimkamata utamfanyaje utampongeza au utamuadhibu?
Angekuwa " wale " wala asingesema..angeka kimyaaa kama wenzie!Jiulize mwizi akijaribu kukuibia halafu ukimkamata utamfanyaje utampongeza au utamuadhibu?
Umenikumbusha mambo ya command...
cmd command enter
ping slash colon enter
mara paap mitambo inakaa sawa watu wanaendelea kufanya kazi, enzi hizi hukooo kapilimposhi na katumba kwa mwanagati.
Ila watu wa IT Tuko kama Kobe, ukiona kimya ujue tunatunga sheria tukiinua kichwa tushafanya mambo.
Copy that, bravo six out...
Umenikumbusha huko marekani kuna cia alipewa kazi ya kwenda kumchunguza mwanamke badala ya kwenda kumchunguza yeye alimuoa kabisa![]()
Nifundishe python mama kasinde
Codes za jf zimechapwa na mzungu mzee sio IT wa IFM
Hahhaha we kasie yani mtu ahack JF then asiingie pm hahahaha huyo sijui atakua anatafuta nini mimi nikiweza kuhack lazima tu niende pm kwa Watu maana ndo kitu mhimu sana kwa hacker yeyeto wa jf 😂😂😂😂
hhahahahahhaaha sawa wewe Endelea kupiga ma command 💻 ya kutosha...
We ndio maaana mjanjamjanja hivi
if ...then else if ...../catch exception naziona nyingi sana kwenye story zako 🙌🏿
Kumbe sio mahaba pekee, hata kwenye IT upo
Hacker ni kama Mchawi, huwa asandi kirahisi hivi.. UmejaribuDaah, hongereni sana Admins, nimejaribu kusaka vulnerabilities kwenye jamiiforums ila nimesanda.View attachment 1194369
nmap ni tool nzuri kufanya network scanning,banner grabbing sema tuu kama utatumia techniqes ukafanya scanning za ku evade IDS,FIREWALLS,IPS, utapata info za kutosha kwnye hio systemKwanza kabisa unacho fanya ni kosa unless uwe staff wa JF na unaruhusa.
Pili scanning tool unayotumia sio rafiki, NIKTO walau ningekuelewa kwa mbaali..
Tatu hujafail kuhack manake hata kuanza hujaanza.
Kwa hiyo atakuwa na nia nzuri tu eti??Asingesema hili!
Ni sahihi kufikiria kumpa kitengo JF. Lakini mtu kama huyu ni kazi sana kumdhibiti ili asithubutu kufanya kile alichoshindwa kufanya akiwa nje ya JF.Kwanini apewe ban mkuu?
Huyu itabidi apewe kazi jf
Mchawi mpe mtoto akulelee
Soon unachotafuta utakipata. Jiandae kurejea na ID mpya. Comments za watu ni mtazamo wao tu lakini terms za JF zinabaki kuwa vile vileNgoja nizame kwenye slowloris