Nimefail kui-hack jamiiforums

Nimefail kui-hack jamiiforums

Niliwahi kuzifaidi sana
Hahhaha we kasie yani mtu ahack JF then asiingie pm hahahaha huyo sijui atakua anatafuta nini mimi nikiweza kuhack lazima tu niende pm kwa Watu maana ndo kitu mhimu sana kwa hacker yeyeto wa jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haujaiva [emoji23][emoji23] unataka ku hack mtandao kwa TERMUX? shame on you kidogo ningeona KALI LINUX hapo ningejua unajaribu jaribu ila TERMUX tena kwa android?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poor you na vi command uchwara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom