Nimefail kui-hack jamiiforums

Nimefail kui-hack jamiiforums

Niliwahi kuzifaidi sana

Hahhahhahaha Aiseee tafadhali sana kama uliweza kuscreenshot fanya siku moja hutupia oone tunavyokimbiana humu😂😂😂😂


mpe ujuzi mtoa mada njia ulizopita naye apite humo mkuu
 
Umenikumbusha mambo ya command...
cmd command enter
ping slash colon enter
mara paap mitambo inakaa sawa watu wanaendelea kufanya kazi, enzi hizi hukooo kapilimposhi na katumba kwa mwanagati.

Ila watu wa IT Tuko kama Kobe, ukiona kimya ujue tunatunga sheria tukiinua kichwa tushafanya mambo.
We ndio maaana mjanjamjanja hivi
if ...then else if ...../catch exception naziona nyingi sana kwenye story zako 🙌🏿
 
Umenikumbusha mambo ya command...
cmd command enter
ping slash colon enter
mara paap mitambo inakaa sawa watu wanaendelea kufanya kazi, enzi hizi hukooo kapilimposhi na katumba kwa mwanagati.

Ila watu wa IT Tuko kama Kobe, ukiona kimya ujue tunatunga sheria tukiinua kichwa tushafanya mambo.
Kumbe sio mahaba pekee, hata kwenye IT upo
 
JF ni ngangari huwezi kuihack, labla ukaombe msaada NASA.....
69869514_122239849133162_623591704775098368_o.jpg
 
Sawa ewe mkuu mwema
Haujaiva unataka ku hack mtandao kwa TERMUX? shame on you kidogo ningeona KALI LINUX hapo ningejua unajaribu jaribu ila TERMUX tena kwa android?? poor you na vi command uchwara
 
Umepata ruhusa ya JAMIIFORUMS KUFANYA SECURITY AUDIT KAMA SIVYO JUA UNA MAKOSA
Alaf hapo eti unataka kufumua server yao sio rahisi. We jaribu kutafuta vulns kwenye web app na sio websever unless kama unaweza kuandika exploits cheza ka webservers. Common vulns ni hizi xxs.sqli,csrf,file upload,code execution,directory traversal,sensitive data exposure etc. Jaribu kutafuta hizo
 
DDOS attack mbaya sana.
Sasa hivi kuna firewalls,IDS,IPS, ambazo zinakagua packets kabla hazijaingia kwenye machine hivyo sio rahisi kufanya DDoS attack. Labda utumie slowloris ambayo husend SYN to server then SYN-ARK from server then haito send ARK kucomplete 3 way handshake kwa kufanya hivyo utakuwa na 150 useles requests ambapo ni mzigo kwa server
 
Daah, hongereni sana Admins, nimejaribu kusaka vulnerabilities kwenye jamiiforums ila nimesanda.View attachment 1194369

Kwanza kabisa unacho fanya ni kosa unless uwe staff wa JF na unaruhusa.
Pili scanning tool unayotumia sio rafiki, NIKTO walau ningekuelewa kwa mbaali..
Tatu hujafail kuhack manake hata kuanza hujaanza.
 
Paw

Cookie

Maxence Melo

Moderator


Mpigeni ban ya maisha huyu kwa sababu inamaanisha kwamba kama angeweza kuhack inaamaana angeweza kuchukua taarifa za watu na kupeleka kusikojulikana.

Hii ni sawa na mwizi ajaribu kuiba kisha ashindwe kutokana na usalama uliopo sasa ukimkata hautakiwi kumsamehe huyo mwizi lazima kipondo kihusike.
 
Back
Top Bottom