Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,300
- 108,331
Halafu you know naprefer kuita wewe Kasinde na si Kasie (hii ni kama naita mdada white/mghaibuni)Aahahahahahahhaaa watuuuu, hivi parking siku hizi umehamia wapi.... Sikuoni....
Nna hamu ya kuseti/kutegesha pancha.... Aahahhahahahaa
Kasinde.
Hahah sipatikani tena downtown, hiyo ilikuwa ni kitambo kile, your pancha mission ishafeli