Nimefail kui-hack jamiiforums

Nimefail kui-hack jamiiforums

Termux mzee inaweza kwa sababu ni family ya hiyo Linux kwa Android
Sikutaka kubishana mkuu, kwenye termux nina lazymux,python, lolcat, slowloris,etc. Tools nyingi sana ila jamaa anajifanya alwatani
 
Haujaiva unataka ku hack mtandao kwa TERMUX? shame on you kidogo ningeona KALI LINUX hapo ningejua unajaribu jaribu ila TERMUX tena kwa android?? poor you na vi command uchwara

ila hiyo Nmap aliyotumia ni nzuri sana kukagua usalama wa system yako, japo anajifunza lakini hajaanza vibaya.
 
Where did I say I was a hacker bruh?
Ni kwenye heading ya post hii uliweka verb ya "hack", noun = hacker,nilikuwa nakukumbusha tu bado upo level ya script kiddie

A script kiddie is basically someone who wants to be a hacker but lacks the actual knowledge of how to actually hack anything. A script kiddie will use, you guessed it, scripts made by actual hackers and crackers in order to get the look of a hacker. They will basically just run the script and it will do whatever it was programmed for. The kiddie actually doesn't do anything but they get the gratification of "hacking" or taking down a website.

A script kiddie isn't seen in a good light within the hacking community. They're seen as outcasts because they flaunt their hacking skills from using the hard work of actual hackers writing up scripts for themselves and friends. A script kiddie typically is a younger person, in junior high or high school, and wants to take a short cut on the learning of what to do in order to hack something.
 
Umenikumbusha mambo ya command...
cmd command enter
ping slash colon enter
mara paap mitambo inakaa sawa watu wanaendelea kufanya kazi, enzi hizi hukooo kapilimposhi na katumba kwa mwanagati.

Ila watu wa IT Tuko kama Kobe, ukiona kimya ujue tunatunga sheria tukiinua kichwa tushafanya mambo.
wewe ni mwanamke kweli...?
 
Ni kwenye heading ya post hii uliweka verb ya "hack", noun = hacker,nilikuwa nakukumbusha tu bado upo level ya script kiddie

A script kiddie is basically someone who wants to be a hacker but lacks the actual knowledge of how to actually hack anything. A script kiddie will use, you guessed it, scripts made by actual hackers and crackers in order to get the look of a hacker. They will basically just run the script and it will do whatever it was programmed for. The kiddie actually doesn't do anything but they get the gratification of "hacking" or taking down a website.

A script kiddie isn't seen in a good light within the hacking community. They're seen as outcasts because they flaunt their hacking skills from using the hard work of actual hackers writing up scripts for themselves and friends. A script kiddie typically is a younger person, in junior high or high school, and wants to take a short cut on the learning of what to do in order to hack something.
Sawa
 
Heheheh acha kumkatisha tamaa !!

Script kiddie ni type ya hacker pia

Hacking sio kwamba lazima ujue programming pamoja inafaida kujua

Hacking ukijua mifumo ya computer inavyofanya kazi thats it

Programming inasaidia kuongeza knowledge kwa kile unachofanya

Kuna dogo kwenye history juz kati kabeba ma million ya pesa kwa kuonesha udhaifu tu na hajui chchte kinchohusu programming

So unaweza kuprograme ila hacking usijue

Ni kiasi cha kumpa hits apige language muhimu ili amaster na alichonacho

Cuz

Hata me nilimaliza chuo computer science ila hacking wezangu hawajui so ni vitu viwili ambavyo hutegemeana ila ni lazima ujue kama ukitaka uwe pazuri
 
Dogo kaza buti
Hahaha, dogo? Nafkiri itakua syntax error, mzee mimi sio mtu wa IT, wachache wakina Mzigua90 wanafahamu kile nafanya mzee. I do this for fun, Linux nilicheza nayo enzi hizo, mambo ya kuemulate ma dreamware etc.
 
So unaweza kuprograme ila hacking usijue
I agree to disagree, yani mtu akijua programming anaweza kuhack vizuri tu, anaweza kutengeneza program yake akaipachika codes za ku monitor pc za ambao wataiingiza kwa kutilia msisitizo watu wazime anti virus wanapo install program yake au waiweke kwenye exception ya threats
 
alright
 
Bongo hakuna hacker ... sasa kama wewe unajiita hacker yule “smliing hacker “ atajiitaje ?!

I phone wametangaza dau kwa atakaye weza ku hack technology yao anza hapo kwanza
 
Back
Top Bottom