Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Mkuu kabla sijakupa pole em Tunaomba hio code ya kurudisha sms zilizofutwa kwa masaa 24 yaliyopita,.. Ukiachana na hiyo Kuna ambayo inarudisha SMS za miezi mitatu nyuma mwenye kuijua hio code alishe mitaa.
 
Pole sana hii hatua Kila mtu atapitia.
 
Sijasikia kama mna watoto.Ungejilidhisha kama ni wako pia.Kama ni wako na unampenda mnaeweza baki km partners wa kulea watoto.Kwa maisha ya siku hizi ndoa nyingi ni open marriage tu Wala sio jambo jipya kwamba ww ni WA kwanza hapana.Kuna mdau mmoja ilimkutaga boss wangu fulani akamwambia aache kulia maku maku zipo mingi. Kile ni kiungo chake cha mwili tukipunguza notion ya kujimilikisha itatusaidia. Nawasilisha
 
😂😂😂mama Dkt. Gwajima D amekujaje hapo?Anyways kaeni mzungumze nini shida unaweza sema haki yake unampa kumbe hujawahi mridhisha
Sasa mnazungumza nini mambo yashaharibika ? Kama angekua anataka mazungumzo si ingekua kabla hajafanya maamuzi ?

PS:
Mheshimiwa nimemweka hapo kumuonyesha tumekubali na ushauri wake na wa serikali kuwa haya mambo yanatakoea na kamwe isiwe chanzo cha kuchukua sheria mkononi au kijidhuru. Kuna maisha baada ya Dik.
 
Pole kwako Kwa kugongewa mke! Ila naona lawama ziko Kwa mwanamke sana sijui vipi kwa wanaume waliowapanga kila kona na.hata mke aamue kufanya hivyo yawezekana chanzo ni wewe hata kama unampa kila kitu vipi kuhusu heshima, unamweshimu au ndio kumfokea bila sababu unampenda kweli Kuna mengi wanawake wanapitia na ukiona mwanamke ameamua kutoka huko anatafuta faraja
 
Heshima nampa mkuu hajawawi kuniambia ana changamoto yoyote kihisia. Ila sometimes hawasemi na akikutana na comforter huko anamwagika analiwa halafu ananza kujutia tena usaliti.
 
Mbaya sana! Ila hakuna namna maana ipo sana kaka! Jitulize kwanza mwana.
Hakuna namna utamridhisha mwanamke katika kumtomba
"...Hakuna namna utamridhisha mwanamke katika kumtomba". Ikiwezekana kila mwanaume na ayashike na kuyaamini maneno haya kuntu
 
Pole mkuu, mwanamke hajawahi kujua anahitaji nini
 
Kiongozi, hiyo Namba 3 inatekelezeka kweli?
 
Hujaoa malaika bwana,hayo mambo yanazungumzika....
 
Lipia tangazo kwa lipa namba ya Mix by Yas 6589272903 jina ni JF chit chat.
 
Eti nizibe masikio!
Wengine nifumbe macho, nisione wakati naibiwa, hamuwezi kuwa hamjalewa!
Mimi nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi .
Hata nikitaka kuoa niambie nitamwoa nani,watu wana watu wao, wengine toka zamani.

AISEE ITOSHE KUSEMA TIMU KATAA NDOA INAZIDI KUKUA, karibu sana ndugu.
 
Kwani Mkuu ukisikia mtu kasema nimemtoa Mke wangu Moshi kwahiyo ni Mchaga hawezi kua Kabila jingine?
Mbona Mimi Mke wangu nimemtoa Manyara na Kabila lake Mnyamwezi.
Kwani Mkuu ukisikia mtu kasema nimemtoa Mke wangu Moshi kwahiyo ni Mchaga hawezi kua Kabila jingine?
Mbona Mimi Mke wangu nimemtoa Manyara na Kabila lake Mnyamwezi.
Muulize jamaa kama ni mkurya ama si mkurya kisha tufunge hesabu
 
Faza, umeiwasilisha kwa umakini mkubwa na logic ya hali ya juu kabisa hasa para ya hitimisho
 
Inasikitisha sana.
 
Wake za watu,ndio wadau wanawamwagia mdomoni,wanawanyonya mkundu na wanawafira,..........wanaume wanaojua wake zao malaya na wanaishi nao inabidi walipwe posho na bunge la CCM
Umesema vyema mkuu, wanaotoka na wake za watu wanachapa ile kukomoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…