Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, haki yake alipata, ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Imagine mpaka walipanga kununua simu mpya ambayo wangetumia wakiwa kazini tu na ibaki hukohuko.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Huwezi pata mtu alokamilika kwa asilimia mia.. kwakua ametambua kosa msamehe na umwambie kua hutoshirik nae kwa miez mitatu course humwamin mpk mtapo pima baada ya miez mitatu na kujihakikishia kua hana maambukizi yoyote ... na within hizo miez mitatu ww mfatilie kwa ukarib kujua kama amechange au laah..
 
Ila maisha bwana unamwacha halafu anakuwa x na unakuta unaenda kupasha kiporo sasa sijui maana yake nini mimi nasema hawa watu wanafanana hata ukimwacha bado yanaweza kutokea hayo wanawake wengi wanatabia hizo angalia point zakuomba msamaha zikoje mpe nafasi nyingine uzuri unanjia nzuri yakufatilia mawasiliano yake
 
Sawa mkuu
 
Huwezi pata mtu alokamilika kwa asilimia mia.. kwakua ametambua kosa msamehe na umwambie kua hutoshirik nae kwa miez mitatu course humwamin mpk mtapo pima baada ya miez mitatu na kujihakikishia kua hana maambukizi yoyote ... na within hizo miez mitatu ww mfatilie kwa ukarib kujua kama amechange au laah..
Duh 🙄
 
Mkuu b4 making hard decision.

Ebu jaribu kuangalia mtoto mtamuathiri kiasi gani baada ya kuachana,coz kama yuko chekechea bado sana ana itaji malezi ya wazazi wawili.

Ushauri.
1,Hili tukio kama ni mara ya kwanza toka muwe kwenye ndoa msamehe,then anza kusoma tabia zake na mienedo.

2,Washilikishe wazazi wenu pande zote mbili ili upate mawazo na ushauli,but ni aibu.na fedheha.

3,Endelea kumuonesha ushilikiano kama ni mzazi mwenzio ili kisudi kujenga kisaikolojia asije fanya maamuzi mabaya kama ya kuji ua au kunywa sumu,coz ni tukio la aibu.

4,Kuhusu tendo la ndoa apo sasa ni changamoto,coz lazma huna uaminifu tena.

Hii situations ni painful sana,but pole mkuu kwa majaribu ya ndoa.
Ushauri wako hautekelezeki hasa no. 3.
 
Nitakuja kuweka wazi kwa watu tunaotumia simu za Android kuna namna ya kuangalia msg za simu zipizofutwa ndani ya 48 hours bila kuinstall application yoyote wala kulipia. Hii ndio njia niliyotumia na ushahidi wa kimazingira mfano dada wa kazi aliemfungulia saa nne usiku, Maana kwakua sikuwepo mimi aliniambia alirudi saa moja nyumbani.
Ukiweka utushtue mkuu
 
Mwamba alikua anachochea kama speed ya cherehani wakati inaposhona ila bado mamiloo kachapwa nao.

So sex is more than that! Caring Je, alikuwa anamjali? Anamtunza? Anamdekeza? Anamwambia mara kwa mara jinsi anavyompenda? Anampa zawadi? Anatenga muda wa kukaa nae? Akiwa nae anamsikiliza? Na akimsikiliza anamshauri? N.k
Hivi unazijua fantasies za wanawake wewe au unabwabwaja tu uonekane unafahamu mapenzi? Hivi unajua ni kiasi gani siku hizi wake za watu na wanawake generally wanavyopenda kunyonywa mikundu na kutiwa sign ila hawataki kufirwa ila ukimbembeleza unamfira vizuri! Ni wanaume wangapi waliooa wanaweza kuwanyonya wake zao mikundu?

Hili jambo lina ukakasi mkubwa mno, na liache tu kama lilivyo, mengi hayaongelewi hadharani ila ukweli ndio huo. Na wake zenu wanafirwa sana nje na anainjoi hakuna mfano ila ndani hatoi ng'oo na ukijaribu anaweza itisha talaka.
 
Mkuu b4 making hard decision.

Ebu jaribu kuangalia mtoto mtamuathiri kiasi gani baada ya kuachana,coz kama yuko chekechea bado sana ana itaji malezi ya wazazi wawili.

Ushauri.
1,Hili tukio kama ni mara ya kwanza toka muwe kwenye ndoa msamehe,then anza kusoma tabia zake na mienedo.

2,Washilikishe wazazi wenu pande zote mbili ili upate mawazo na ushauli,but ni aibu.na fedheha.

3,Endelea kumuonesha ushilikiano kama ni mzazi mwenzio ili kisudi kujenga kisaikolojia asije fanya maamuzi mabaya kama ya kuji ua au kunywa sumu,coz ni tukio la aibu.

4,Kuhusu tendo la ndoa apo sasa ni changamoto,coz lazma huna uaminifu tena.

Hii situations ni painful sana,but pole mkuu kwa majaribu ya ndoa.
Asante kwa maoni ila ya kingese

Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom